APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 293
Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow hivyo nalazimika kutumia TIGO.Ila sasa data consumption ni hatari.