Mtandao wa Tigo intaneti iko chini sana

Heading inajieleza wana jamvi hawa TIGO huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni).
Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Mbona unatufokea wanajamvi? Hata salamu hakuna
 
Tigo ina unafuu maeneo ya mjini tu. Ila kwa maeneo ya Vijijini, internet yake iko chini mpaka basi.
 
Mimi nimepiga hadi simu kuulizia hili tatizo lkn hakuna majibu ya kueleweka.
TIGO BADILIKENI vinginevyo mtaishia kuwa kama ZANTEL mliowanunua!
 
Voda imekaa kizee kizee lakini ukienda trip za vijijini wanasevu sana😎😎😎tigo inaserch mpaka sakata la bandari linaisha haijaleta mlejesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom