mtandao

  1. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ayub Rioba: JamiiForums ni chombo cha habari na si jukwaa la mtandao

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema JamiiForums ni chombo cha habari na sio Jukwaa la mtandao kama linavyojulikana. Dkt. Rioba amesema hayo mkoani Mwanza wakati wa uwasilishaji mada za mitandao ya kijamii katika mkutano wa Mafunzo wa 108 wa...
  2. X

    JamiiForums Tanzania Mikopo kwa njia ya Mtandao

    Habari Wana JamiiForum? Nilikuwa nahitaji kufahamu je ni sahihi kwa watu wanaokopshe kwa njia ya app kuhack phonebook ya mteja na kuanza kuwatumia watu walio kwenye phonebook ya mteja na kusambaza taarifa za mteja kwa kushindwa kulipa deni ndani ya siku walizokubaliana? Na isitoshe wanaotumiwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bado najiuliza: Nini hasa chanzo cha Lowassa kuwa na ushawishi kwa watu?

    Poleni kwa Msiba Wakuu! Kikawaida ni kawaida watu wenye midomo, makelele na makeke kuwa na ushawishi kwa watu. Mfano, ushawishi wa Tundu Lisu ni Makeke na mdomo kwa kujua kupepeta hoja zikapepeteka. Ushawishi wa JPM ni makeke, kukandia wengine na uchapakazi. Ushawishi wa Dkt. Slaa pia ni...
  4. mangiTz

    JamiiForums Tanzania TTCL ni mtandao unaotumiwa zaidi na matapeli

    Habari wana JF, TTCL kampuni ambayo ipo chini ya usimamizi wa serikali una changamoto ya kutumiwa zaidi na matapeli wanaojaribu kutapeli watu kupitia call/sms. Kampuni kama hii ambayo ipo chini ya serikali tungetarajia kubwa ingefanya vizuri zaidi kwasababu chombo kinachosimamia pia (TCRA) ni...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge ya PAC yaridhika na kazi za Serikali Mtandao

    Dodoma, Dodoma Kamati ya Bunge ya kudumu ya Mahesabu ya Serikali yaani PAC imeeleza kuridhishwa na kazi zinazofanywa na menejimenti ya Serikali Mtandao wakati walipodhuru kituo cha Ubunifu na Uendelezaji Vipaji jijini Dodoma. Wakizungumza baada ya kukagua kazi zinazofanywa na kituo hicho...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mifumo yote ya TEHAMA Nchini iliyochini ya serikali haina mtandao na inasumbua; sekta binafsi hakuna changamoto. Serikali ipo salama?

    Hakuna mfumo wa serikali mtandao unaotoa huduma kwa wakati. Mifumo yote inasumbua na ipo slow sana. Kwa wataalam wa TEHAMA mtakubaliana na mimi kwamba kadri mifumo ya serikali ya TEHAMA inavyohujumiwa ndivyo wanasiasa na watoa maamuzi wanavyosukumwa kutafuta suluhu mpya Maana yake hapa tulipo...
  7. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa anaweza kupunguza matapeli Ardhi? Wana mtandao, wamejazana wizarani, wana makampuni!

    Kwenye ardhi kuna utapeli wa kila aina ndio mana lukuvi alipokuwa waziri wa ardhi alipiga marufuku baadhi ya makampuni yaliyokuwa yanapima viwanja na kuuza maana walisababisha migogoro mingi sana ya ardhi. Viwanja vinatangazwa kwenye maspika katika vituo vya daladala kama vile nguo za ndani...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Tigo uliongoza Kurekodi Majaribio Mengi ya Vitendo vya Udanganyifu mwaka 2023

    Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666. Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
  9. aise

    JamiiForums Tanzania Tigo rekebisheni mtandao wenu, tangu jana mpaka sasa ni shida sana kuupata

    Eneo nilipo watu wote wenye laini za Tigo mtandao hausomi! Kwenu hali ikoje? ======
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kesi za wizi kwa njia ya mtandao

    Kumekuwa na Tabia za matapeli wengi kuongezeka kwa njia ya mtandao hususani mawakala wa kutuma na kutoa pesa. Ukienda polisi kesi za wizi wa mtandao ni nyingi mno na hazifanyiwi kazi na Wingi huo umesababishwa na Polisi hawazifatilii na wahusika hawawakamiti Sababu zikiwa ni pamoja Mawakala...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  12. Jimz Group

    JamiiForums Tanzania Usalama wa Kompyuta Yako ni Muhimu Sana

    Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama: 🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi. 📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika. 💻 Kusababisha kompyuta yako kufanya kazi polepole au kutofanya kazi kabisa. Virusi ni adui wa kimya ambaye...
  13. Willy NGOMA

    JamiiForums Tanzania Simu Nokia haisomi mtandao

    Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
  14. kali linux

    JamiiForums Tanzania Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

    Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel. Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
  15. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Twitter x uko down

    Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa. Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha. 𝕏 is back up & alive
  16. Fungarakwaki

    JamiiForums Tanzania TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
  17. Exile

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

    Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
  18. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Polisi Kata wanolewa juu ya uandaaji na utumaji wa Taarifa za Wahalifu na uhalifu kwa njia ya Mtandao

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi Kata namna ya uandaaji na utumaji wa taarifa za wahalifu na uhalifu Kwa kutumia...
Back
Top Bottom