Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

MAMESHO

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
1,366
1,622
Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.

Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.

Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema

Naambiwa nisubiri na hawana uhakika mtandao unarudi saa ngapi.

Maafisa wa bima hawatoi majibu ya kuridhisha. Lundo la watu hapa. Wamekosa huduma ili hali ni haki yao kupatiwa huduma.
 
Mbona hii ni common sana. Labda wewe siyo mwendaji wa hospital mara kwa mara.

Tanzania imeoza hii. Magufuli alizikwa na kila kitu
 
Tafuta hela kenge wewe
 
Hii iko chini ya taasisi. Inatwa Dar group opposite na AZAM TV.
Nimeona IT wao alivyokuwa anahangaika kufungua makabatinya servers na kucheki loose connections. Nikawaambia mbona kuna option ya kutumia app badala ya wao kuendelea kuchat watuhudumie.

Wameshtuka sana. Wakatumia app na kuanza kuita mmoja mmoja. Saa saba network imerudi wakaendelea.
 
Mbona hii ni common sana. Labda wewe siyo mwendaji wa hospital mara kwa mara.

Tanzania imeoza hii. Magufuli alizikwa na kila kitu
Ni kweli mkuu. Nikwambie kitu. Tusikae kimya, nina siku nne maji hayajatoka haya ya Dawasa. Umeme kuzima bila taarifa ni kawaida. Bado hatujafikia kiwango cha kutoa huduma za kuridhisha. Juzi TRA kuchukua TIN ilikuwa ishu. Watu hawajali kuhudumia watu ipasavyo
 
Back
Top Bottom