Krikichino
JF-Expert Member
- Oct 5, 2019
- 651
- 1,098
Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake.
Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi Tanzania kuanzia 2012 - 2022 huku ngoma ya Rayvanny Tetema ikiwa namba 2
Ali Kiba kashika namba tatu huku mmakonde akiwa namba 5.
Wasanii wengine waliopo kwenye orodha hiyo ni pamoja na Maua Sama, Man Fongo na Darassa kupitia Muziki.
Kwenye article yao pia kuna wasanii kama Gigy Money, Kassim Mganga, Dogo Janja na wengineo
Kwa maelezo zaidi unaweza kusoma article yao. Wameeleza kwa undani kwa nini wamechagua ngoma zilizomo
Vipi unakubaliana na list au unaona wamezingua?

The 100 best Tanzanian songs of the decade: 2012 - 2022 | Notjustok
The stretch from 2012 to 2022 marked a pivotal time in the ascent of Bongo Flava.. These are the 100 best Tanzanian songs of the decade
notjustok.com