mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha tu kuwa CDF Mstaafu Gen. Mabeyo ni Kiongpzi wa Jumuiya zote za Kikatoliki Tanzania

    Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel. Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

    Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya...
  4. carnage21

    JamiiForums Tanzania "Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

    SIMBA HATUNA KOCHA Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️ "1. Simba hatuna kocha ... 2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya .. 3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja. 4. Yanga...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ahimiza amani katika Nchi za SADC

    Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha. Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga na Ruto kufanya mazungumzo chini ya Rais Mstaafu Olesegun Obasanjo

    Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga. Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
  7. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wadaiwa kupanga njama za kumuondoa Rais Ruto Madarakani

    Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani...
  10. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

    Wakati wa Utawala wake... Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi. Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamfutia kesi za ufisadi Rais Mstaafu Bakili Muluzi

    Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa miaka mitano baada ya kuondoka madarakani. Yeye na aliyekuwa katibu wake wa kibinafsi, Lyness Whisky...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mwana FA umekubali Kuvaa Jezi ya Yanga SC ili Mstaafu Mshawishi mwana Yanga SC akulinde kwa Mama usitumbuliwe Uwaziri?

    Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu. Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
  13. comte

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa hili la Rais Mstaafu wa Marekani kushitakiwa halina ukweli unatupotosha

  14. Kaita94

    JamiiForums Tanzania Mstaafu akifariki malipo yake ya kila mwezi hukoma baada ya muda gani?

    Wanajanvi naomba msaada. Ivi mstaafu akishafariki pesa alizokua anazolipwa kila mwezi huwa zinakoma baada ya mda gani? Haswa kwa sheria zao za mafao ya wastafu
  15. F

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Jakaya Kikwete aongelea Ikulu mpya, aisifu kwa uzuri wake

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesifu amuzi wa serikali kujenga ikulu Dodoma. Amesifu ujenzi wa ikulu mpya na kusema kuwa ikulu hiyo ndio uthibitisho wa adhma ya serikali kuhamia Dodoma. Asema imekamilikia vizuri na inapendeza. Mheshimiwa Jakaya amesema Juhudi za ujenzi wa ikulu mpya zilianza na...
  16. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Meya Mstaafu Boniface Jacob wa CHADEMA kiongozi mgomo Kariakoo?

    Wafanya biashara Kariakoo kumbe wanaongozwa kwa remote na aliyekuwa Meya wa Ubungo, Boniface Jacob. Mmeshaharibu upepo!
  17. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amlilia Bernard Membe

    Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe. Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya maisha yetu yamehusiana sana. Bernard Kamillius Membe alikuwa ni mtu wa msaada mkubwa kwangu katika...
  18. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hoja ya kusitisha Mafao ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta yatua Bungeni

    Bunge la Kitaifa la Kenya linahitaji kura za walio wengi kusitisha mafao ya kila mwezi na marupurupu mengine ambayo Rais wa zamani wa Kenya, Uhuru Kenyatta anapata kwa kinachoelezwa kuwa anajihusisha na siasa baada ya kustaafu. Mbunge wa Gatundu Kusini, Gabriel Kagombe amewasilisha hoja katika...
  19. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mke wa rais Mstaafu Zambia, Esther Lungu katika kashfa nzito ya $400,000

    Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi...
  20. S

    JamiiForums Tanzania CAG Mstaafu amsifu Mkulima aliyewaburuza kortini wabadhirifu waliotajwa na CAG

    MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mstaafu, Ludovick Utouh, amesifu uamuzi aliouchukua mkulima Thomas Nkola, kuamua kufungua kesi mahakamani kushinikiza waliotajwa kuhusika na ubadhirifu wa mabilioni katika ripoti ya mwaka 2021/22 ya CAG kuchukuliwa hatua. Nkola, mkulima na...
Back
Top Bottom