Natoa wito IGP Wambura ajiuzulu mara moja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,765
218,383
Screenshot_2023-08-18-15-33-30-1.jpg

Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya kumnyang'anya simu zake na computer na kutengeneza clip za kizushi kwamba ni matamshi yake, haikubaliki na inadhalilisha Jeshi la Polisi , ambalo kimsingi ni mali ya Wananchi .

Lingine ni hili , Baada ya Dkt Slaa kukataa kutoa Sample ya Sauti yake, Polisi wakashindwa kutengeneza sauti ya kuipeleka Mahakamani ili kumbambikia Uhaini kama walivyotumwa na Mawakala wa DP WORLD , hii maana yake ni kwamba Polisi chini ya Wambura wamegeuka Maadui wa Taifa , hatimaye Dkt Slaa ameachiwa kwa dhamana , ulisikia wapi nchi hii Mhaini anapewa dhamana ?

Nafahamu kwamba wengi mnatamani Wambura aondoke kutokana na Tuhuma nyingi tangu akiwa DCI ila mnaogopa kusema hadharani kujiepusha na kutekwa au kuuawa , Tundu Lissu amemtuhumu waziwazi Wambura kuhusika na kesi zote za uongo wakati wa awamu ya 5 , yaani huyu ndio aliyekuwa Mpishi Mkuu wa kesi walizobambikwa Wapinzani, Watanzania wenzetu wamesoteshwa selo kwa muda mrefu kwa kesi za uongo, Mtu wa namna hii awezaje kuaminika leo?

Ni kweli kwamba Wananchi wengi wanatamani CCM ing'olewe madarakani hata muda huu , lakini huwezi kuangusha Mti mkubwa bila kupunguza kwanza Matawi yake ili kutafuta uelekeo mzuri wa kuanguka ili usiangukie nyumba za watu.

Naomba kuwasilisha.
 
Naunga mkono hoja.

IGP wa ajabu kuwahi kutokea tangu Uhuru.

Nilishangazwa sana na matamshi yake yale siku anaongea na vyombo vya habari.

Nilijaribu kutafakari aina ya viongozi tulionao nilijikuta nalisikitikia Taifa langu
Ubarikiwe sana
 
View attachment 2720801

Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania , hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote , Kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya kumnyang'anya simu zake na computer na kutengeneza clip za kizushi kwamba ni matamshi yake , haikubaliki na inadhalilisha Jeshi la Polisi , ambalo kimsingi ni mali ya Wananchi .

Baada ya Dkt Slaa kukataa kutoa Sample ya Sauti yake , Polisi wakashindwa kutengeneza sauti ya kuipeleka Mahakamani ili kumbambikia Uhaini kama walivyotumwa na Mawakala wa DP WORLD , hii maana yake ni kwamba Polisi chini ya Wambura wamegeuka Maadui wa Taifa , hatimaye Dkt Slaa ameachiwa kwa dhamana , ulisikia wapi nchi hii Mhaini anapewa dhamana ?

Nafahamu kwamba wengi mnatamani Wambura aondoke kutokana na Tuhuma nyingi tangu akiwa DCI ila mnaogopa kusema hadharani kujiepusha na kutekwa au kuuawa , Tundu Lissu amemtuhumu waziwazi Wambura kuhusika na kesi zote za uongo wakati wa awamu ya 5 , yaani huyu ndio aliyekuwa Mpishi Mkuu wa kesi walizobambikwa Wapinzani , Watanzania wenzetu wamesoteshwa selo kwa muda mrefu kwa kesi za uongo , Mtu wa namna hii awezaje kuaminika leo ?

Ni kweli kwamba Wananchi wengi wanatamani CCM ing'olewe madarakani hata muda huu , lakini huwezi kuangusha Mti mkubwa bila kupunguza kwanza Matawi yake ili kutafuta uelekeo mzuri wa kuanguka ili usiangukie nyumba za watu .

Naomba Kuwasilisha .
Mkifanya ujinga tena.Mtasekwa tena.
 
Ccm imeshaisha kwasasa changamoto iliyobaki ni mapolisi wapumbavu waliofeli f4 ndio kikwazo jwtz wanawaelewa wananchi na kilio chao cha muda mrefu dhidi ya ccm onezi ila wao sio eneo lao la kujidai ila kwa dhati ccm must go must fade away sooner or later !!
 
View attachment 2720801

Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania , hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote , Kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya kumnyang'anya simu zake na computer na kutengeneza clip za kizushi kwamba ni matamshi yake , haikubaliki na inadhalilisha Jeshi la Polisi , ambalo kimsingi ni mali ya Wananchi .

Baada ya Dkt Slaa kukataa kutoa Sample ya Sauti yake , Polisi wakashindwa kutengeneza sauti ya kuipeleka Mahakamani ili kumbambikia Uhaini kama walivyotumwa na Mawakala wa DP WORLD , hii maana yake ni kwamba Polisi chini ya Wambura wamegeuka Maadui wa Taifa , hatimaye Dkt Slaa ameachiwa kwa dhamana , ulisikia wapi nchi hii Mhaini anapewa dhamana ?

Nafahamu kwamba wengi mnatamani Wambura aondoke kutokana na Tuhuma nyingi tangu akiwa DCI ila mnaogopa kusema hadharani kujiepusha na kutekwa au kuuawa , Tundu Lissu amemtuhumu waziwazi Wambura kuhusika na kesi zote za uongo wakati wa awamu ya 5 , yaani huyu ndio aliyekuwa Mpishi Mkuu wa kesi walizobambikwa Wapinzani , Watanzania wenzetu wamesoteshwa selo kwa muda mrefu kwa kesi za uongo , Mtu wa namna hii awezaje kuaminika leo ?

Ni kweli kwamba Wananchi wengi wanatamani CCM ing'olewe madarakani hata muda huu , lakini huwezi kuangusha Mti mkubwa bila kupunguza kwanza Matawi yake ili kutafuta uelekeo mzuri wa kuanguka ili usiangukie nyumba za watu .

Naomba Kuwasilisha .
Nani kakudanganya kesi imeisha? Unafahamu sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai fungu la 148 kimewaruhusu polisi kutoa Dhamana pale ambapo wanashindwa kumfikisha mtuhumiwa mahakamani ndani ya masaa 24 na wataendelea na upelelezi wakati mtuhumiwa akiwa ana ripoti regularly hadi pale wstakapokamilisha upelelezi na kumfikisha mahakamani?
 
Hizi teuzi zinawadhalilisha sana, kuna mteule katika Nchi hii anaweza kumpinga aliyemteua kweli, hata kama ni kusimamia haki?
 
Back
Top Bottom