Mke wa rais Mstaafu Zambia, Esther Lungu katika kashfa nzito ya $400,000

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,302
Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi hayo ya rais mstaafu na kulaani vikali hatua iliyochukuliwa na jeshi la polisi dhidi ya rais mstaafu ambaye katiba inampa kinga ya kutoshtakiwa. Hata wananchi wengine waliona sio poa kilichokuwa kinaendelea na kulaani sana.

Lakini mida ya mchana kibao kiligeuka na wananchi wakajikuta walikuwa wameingia chaka kulilaumu jeshi la polisi. Polisi walikuwa kimya kumbe walikuwa na jambo lao zito mno. Polisi waliutaarifu umma kuwa kilichofanya waende kupiga search kwenye nyumba ya rais ni baada ya kupelekewa malalamiko na walalamikaji Elizabeth Phiri ambaye ni mtoto wa dada yake Edgar Lungu (mpwa) na binti yake Fuhana Patel dhidi ya Bi Esther Lungu.

Elizabeth Chanje Phiri na bintiye aliyefahamika kwa jina la Furhana Patel walilalamikia Polisi kuwa mke wa Rais wa zamani, Esther Lungu, kupora magari yao ambayo ni Mitsubishi Canter yenye namba za usajili BAV 5282, Toyota Allex yenye namba za usajili BAV 3986 na Toyota Runx yenye namba za usajili BAV 3986. Katika uchunguzi wao leo, Polisi walifanikiwa kupata gari moja Toyota RunX huko wenye makazi ya Rais mstaafu. Polisi walimtaka mke wa rais mstaafu, Esther Lungu kufika kituo cha polisi Woodlands, Lusaka kujibu tuhuma za wizi wa magari na cheti cha kumiliki moja ya mali mjini Lusaka.

Lakini ilikuwaje hadi wanafamilia kufikia hatua hii ya kufikishana polisi tena kwa familia nyeti kama hii? Jibu la hili swali linapelekea raia kuishia kuwa na hasira kali sana na kuwapongeza polisi kwa kazi nzuri. Raia wanapata stori ya upande wa pili wa sakata zima hasa kumhusu Bi. Esther Lungu. Stori inaanzia September, 2021 ambapo mpwa wa rais mstaafu Lungu, Bi. Catherine Banda, anapewa pesa kiasi cha $400,000 taslimu azihifadhi kwenye sefu lake. Ikumbukwe hizi ni nyakati serikali ya Lungu inakabidhi madaraka kwa serikali mpya ya Hakainde Hichilema.

Lakini inadaiwa Catherine Banda nae alimpatia $300,000 walalamikaji Elizabeth Phiri na bintiye Fuhana Patel. Ilipofika August, 2022 Mama Lungu akazitaka pesa zake kutoka kwa Catherine Banda bila kujua tayari pesa zilishafika mikononi mwa Elizabeth Phiri na binti yake Fuhana Patel. Baada ya kujua hivyo ikabidi Mama Lungu awafikishe kituo cha polisi Woodlands ila ikaonekana ni suala la kifamilia bora wakamalizane kinyumbani.Baada ya vikao kadhaa vya kifamilia ikakubalika watu wale hawana hata senti yaani tayari hela zote walishazitumia kununua vitu mbalimbali.

Kama familia wakakubaliana Elizabeth na Fuhana wakabidhi mali zao kwa Mama Lungu ili kufidia pesa zake walizotafuna. Wakamkabidhi Toyota Alex, Toyota RunX na Mitsubishi Canter. Kwa ridhaa yao wenyewe wakakabidhi na kadi za magari. Lakini cha kushangaza baada ya miezi kupita Elizabeth na Fuhana wakagundua bado mali walizokabidhi hazijabadilishwa majina ndo wakaona waende polisi kushtaki kuporwa mali zao.

Wakati familia ikivutana mahakamani, wananchi mitandaoni wamekuwa wakiuliza usafi wa hizo pesa $400,000 kwamba kwanini hazikuwekwa benki kama ni safi? je, mke wa Rais ana chanzo gani cha mapato kumwezesha kupata $400,000 cash? Wananchi wengine wameenda mbali zaidi na kutaka mama abanwe na kutoa maelezo alikozitoa pesa zote hizo. Kisiasa ni pigo kubwa sana kwa Rais Mstaafu Lungu na chama chake huku ikiwa ni ushindi kwa chama tawala na Rais HH.

FB_IMG_1683148245548.jpg

FB_IMG_1683148062095.jpg
 
Huyo mama mjinga kwanini asingeficha kwenye selfu yake?
Sio mjinga. Kipindi mumewe akiwa Rais walimfanyia ushenzi mwingi sana Hichilema ikiwemo kumvamia nyumbani kwake usiku na kumkamata kama jambazi. Wakamtesa sana tu na kumpa kesi ya uhaini. Kwahiyo kwa vyovyote vile walidhani mara baada ya uchaguzi HH angewafanya kitu mbaya. Alikuwa sahihi kuondoa hela mapema.
 
Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi hayo ya rais mstaafu na kulaani vikali hatua iliyochukuliwa na jeshi la polisi dhidi ya rais mstaafu ambaye katiba inampa kinga ya kutoshtakiwa. Hata wananchi wengine waliona sio poa kilichokuwa kinaendelea na kulaani sana.

Lakini mida ya mchana kibao kiligeuka na wananchi wakajikuta walikuwa wameingia chaka kulilaumu jeshi la polisi. Polisi walikuwa kimya kumbe walikuwa na jambo lao zito mno. Polisi waliutaarifu umma kuwa kilichofanya waende kupiga search kwenye nyumba ya rais ni baada ya kupelekewa malalamiko na walalamikaji Elizabeth Phiri ambaye ni mtoto wa dada yake Edgar Lungu (mpwa) na binti yake Fuhana Patel dhidi ya Bi Esther Lungu.

Elizabeth Chanje Phiri na bintiye aliyefahamika kwa jina la Furhana Patel walilalamikia Polisi kuwa mke wa Rais wa zamani, Esther Lungu, kupora magari yao ambayo ni Mitsubishi Canter yenye namba za usajili BAV 5282, Toyota Allex yenye namba za usajili BAV 3986 na Toyota Runx yenye namba za usajili BAV 3986. Katika uchunguzi wao leo, Polisi walifanikiwa kupata gari moja Toyota RunX huko wenye makazi ya Rais mstaafu. Polisi walimtaka mke wa rais mstaafu, Esther Lungu kufika kituo cha polisi Woodlands, Lusaka kujibu tuhuma za wizi wa magari na cheti cha kumiliki moja ya mali mjini Lusaka.

Lakini ilikuwaje hadi wanafamilia kufikia hatua hii ya kufikishana polisi tena kwa familia nyeti kama hii? Jibu la hili swali linapelekea raia kuishia kuwa na hasira kali sana na kuwapongeza polisi kwa kazi nzuri. Raia wanapata stori ya upande wa pili wa sakata zima hasa kumhusu Bi. Esther Lungu. Stori inaanzia September, 2021 ambapo mpwa wa rais mstaafu Lungu, Bi. Catherine Banda, anapewa pesa kiasi cha $400,000 taslimu azihifadhi kwenye sefu lake. Ikumbukwe hizi ni nyakati serikali ya Lungu inakabidhi madaraka kwa serikali mpya ya Hakainde Hichilema.

Lakini inadaiwa Catherine Banda nae alimpatia $300,000 walalamikaji Elizabeth Phiri na bintiye Fuhana Patel. Ilipofika August, 2022 Mama Lungu akazitaka pesa zake kutoka kwa Catherine Banda bila kujua tayari pesa zilishafika mikononi mwa Elizabeth Phiri na binti yake Fuhana Patel. Baada ya kujua hivyo ikabidi Mama Lungu awafikishe kituo cha polisi Woodlands ila ikaonekana ni suala la kifamilia bora wakamalizane kinyumbani.Baada ya vikao kadhaa vya kifamilia ikakubalika watu wale hawana hata senti yaani tayari hela zote walishazitumia kununua vitu mbalimbali.

Kama familia wakakubaliana Elizabeth na Fuhana wakabidhi mali zao kwa Mama Lungu ili kufidia pesa zake walizotafuna. Wakamkabidhi Toyota Alex, Toyota RunX na Mitsubishi Canter. Kwa ridhaa yao wenyewe wakakabidhi na kadi za magari. Lakini cha kushangaza baada ya miezi kupita Elizabeth na Fuhana wakagundua bado mali walizokabidhi hazijabadilishwa majina ndo wakaona waende polisi kushtaki kuporwa mali zao.

Wakati familia ikivutana mahakamani, wananchi mitandaoni wamekuwa wakiuliza usafi wa hizo pesa $400,000 kwamba kwanini hazikuwekwa benki kama ni safi? je, mke wa Rais ana chanzo gani cha mapato kumwezesha kupata $400,000 cash? Wananchi wengine wameenda mbali zaidi na kutaka mama abanwe na kutoa maelezo alikozitoa pesa zote hizo. Kisiasa ni pigo kubwa sana kwa Rais Mstaafu Lungu na chama chake huku ikiwa ni ushindi kwa chama tawala na Rais HH.

View attachment 2609012
View attachment 2609013

Hii nchi maskin sana yaan $400,000 ndio kelele za namna hio kwa first family?
 
Haya yasipotokea 2026 sijui!?
 
Mbona hao askari ni FFU wa Tanzania? Hiyo nchi haina askari mpaka waje wachukue Police wetu?
 
Haya yasipotokea 2026 sijui!?
Bongo watu wanajua kucheza na haya mambo. Mama Lungu alichokosea sana ni kwenda kunyang'anya hivyo vigari kufidia hela nyingi kama ile. Pia kuchelewa kubadili kadi ni uzembe mwingine. Kimsingi hao mabinti wanatumika tu na wapinzani wa Lungu kisiasa.
 
Back
Top Bottom