mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine. **Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais (Mstaafu). 2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Chama Tawala cha ANC chamsimamisha uanachama Rais Mstaafu Jacob Zuma

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani. Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana...
  5. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

    Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Mauritania afungwa miaka 5 jela kwa makosa ya ufisadi

    Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania RC mstaafu, Engineer Robert Gabriel kujiita Local Fundi ni fedheha kwa fani ya uhandisi

    Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi. Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Mstaafu Edgar Chagwa Lungu asitishiwa marupurupu yake ya kustaafu

    01 November 2023 Lusaka, Zambia RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3, pasipoti ya kibalozi, magari 3 ya serikali, nyumba iliyosheheni samani, bima ya afya na gharama za...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  14. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

    Anasema hivi..... See new posts Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda. Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  16. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu Mstaafu wa Kenya: Bunge lina Watu wengi mno, Viti Maalumu Vipunguzwe

    Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini. Muigai amesema Mapendekezo ya...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

    Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani. Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia Uongozi wa ACT wazalendo unaweza kupingana na kauli ya mstaafu Kikwete!

    Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
Back
Top Bottom