"Simba hatuna kocha" asema Mayor mstaafu Boniface Jacob

carnage21

JF-Expert Member
Jan 24, 2023
521
1,258
SIMBA HATUNA KOCHA

Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️

"1. Simba hatuna kocha ...

2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya ..

3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja.

4. Yanga haijabomoka kama tulivyotegemea (Labda kama walikamia).

5. BAHATI NI YETU"

My take:

Football sio politics..majina hayachezi,wanatakiwa kuingia kwenye mfumo,tena with right timing...nafkr tuwape muda hawa wachezaji wapya.

Screenshot_20230815-181640_Twitter.jpg
 
John Boko atafutiwe majukumu ndani ya management. Itakuwa anaonewa aibu kupangwa kwenye mechi ngumu.

Simba vs Dodoma na zifananazo ndio size yake angalau.

Onana, Phiri,Baleke wako nje eti Boko yuko ndani.

Wako baadhi ya mashabiki walivyoona timu inacheza hovyo huku wazuri wako nje waliona hata timu ifungwe ni sawa ili ajili zikae sawa kwa viongozi.

Unapochezesha wachezaji wenye uwezo mdogo kwa kujidai una akili sana na unawaza tofauti inatakiwa timu ishinde confotably.

Sio lazima uwe kocha ili ujue kuwa Mayele ni bora KWA Musonda. Au uwe injinia kujua barabara ya lami ni gharama kuliko ya changalawe
 
SIMBA HATUNA KOCHA

Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️

"1. Simba hatuna kocha ...

2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya ..

3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja ...

4. Yanga haijabomoka kama tulivyotegemea (Labda kama walikamia) ...

5. BAHATI NI YETU"

My take:
Football sio politics..majina hayachezi,wanatakiwa kuingia kwenye mfumo,tena with right timing...nafkr tuwape muda hawa wachezaji wapya.

View attachment 2717288
Mtaani jana kpiganiwa na mungu tuu
 
John Boko atafutiwe majukumu ndani ya management. Itakuwa anaonewa aibu kupangwa kwenye mechi ngumu.

Simba vs Dodoma na zifananazo ndio size yake angalau.

Onana, Phiri,Baleke wako nje eti Boko yuko ndani.

Wako baadhi ya mashabiki walivyoona timu inacheza hovyo huku wazuri wako nje waliona hata timu ifungwe ni sawa ili ajili zikae sawa kwa viongozi.

Unapochezesha wachezaji wenye uwezo mdogo kwa kujidai una akili sana na unawaza tofauti inatakiwa timu ishinde confotably.

Sio lazima uwe kocha ili ujue kuwa Mayele ni bora KWA Musonda. Au uwe injinia kujua barabara ya lami ni gharama kuliko ya changalawe
Aina ya pitch ndio inaamua nani acheze maana uwanja ulikuwa sio rafiki ndio maana walianza hao wazoefu wa viwanja hvyo
 
Timu bora ni ile inayopata matokeo hata ikicheza vibaya.

Kwenye mpira huwezi kuwa bora wakati wote.

Lakini yapasa kupata matokeo muda wote. Huo ndio ubora.

Ukiangalia match za nyuma ambazo Simba amepoteza, amekuwa akicheza vizuri zaidi kuliko Yanga. Je amewahi kutoa maoni gani?

Kucheza vizuri hakukupi matokeo, ila dhamira na mipango na bahati ndo huleta matokeo.

Kwanza siasa na mpira wapi na wapi?
 
Ushabiki mwingine ni sumu hatari sana vichwani mwa wafia timu, kubeba ngao kumewapofusha kabisa na kuona mnayo timu imara sana🤔🤔 Time will tell!
 
Tuna wachezaji bora kabisa wa kiwango cha juu sana, Lakini hatuna timu.

Wafia timu wanajifariji Kwa kupata Ngao ya Hisani.
 
4khaaa

Back
Top Bottom