mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zisifumbie macho udhalilishaji huu anaopitia DC mstaafu Jane Nyamsenda

    Kitu kinachouma ni kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na komenti za dhihaka, matusi na udhalilishaji zikifata. Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni...
  2. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zisifumbie macho udhalilishaji huu anaopitia DC mstaafu Jane.

    Kitu kinachouma Ni Kuwa ingawa haijulikani katumbuliwa kwa Sababu gani lkn picha zake zimekuwa zikisambazwa labda kuhusishwa na hizi haki na koment za ziaka, matusi na udhalilishaji zikifata. Sasa Kuna Vita kubwa Kati ya wale wanaotetea watu wenye kasoro za kimaumbile zinazohushisha homoni za...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Jane Nyamsenda, DC mstaafu wa Sumbawanga

    Huyu ndio DC aliyetumbuliwa jana na mamlaka za uteuzi. Hakika CCM tuna watu!!
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ofisa mstaafu wa Polisi adai kubambikiwa kesi

    Aliyekuwa Mkuu wa Polisi (OCD), wa Wilaya ya Siha, Vicent Lyimo amemwandikia barua Rais Samia Suluhu Hassan, akimuomba aingilie kati suala lake ili Jeshi la Polisi limpatie nakala ya hukumu na mwenendo wa kesi ya kijeshi iliyomshusha cheo. Lyimo anadai mwaka 2016, alifunguliwa mashtaka katika...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanajeshi Mstaafu amshtaki Rais Ruto kwa kutengua Uteuzi wake

    Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC). Rukaria amedai kuwa Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla...
  6. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

    Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed...
  7. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta na Washirika wake kuchunguzwa juu ya Ukwepaji Kodi

    Serikali ya Rais William Ruto inadaiwa kuanza uchunguzi wa Kampuni takriban 300 zinazohusishwa na kutolipa Kodi, baadhi yake zikimilikiwa na watu waliowahi kuwa na Mamlaka katika Serikali zilizopita. Waziri wa Fedha, Njuguna Ndung’u na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Kodi (KRA), Anthony Ng’ang’a...
  8. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta akalia kuti kavu, Watendaji wake kukaguliwa ukwepaji kodi

    The Star Newspaper Front page tomorrow February 1st, 2023.......... Waandani wa Rais William Ruto wataka makampuni ya Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kufanyiwa ukaguzi wa Kodi. Aidha wamedai kuwa familia ya Kenyatta imekwepa kulipa kodi kwa muda mrefu sasa.
  9. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  10. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyumba ya mjane wa Balozi John Rupia Katibu Mkuu Kiongozi (mstaafu) yadaiwa kupigwa mnada

    Fuatilia kinachoendela. Hali hapa Dar sio nzuri, nyumba za wajane zinauzwa usiku na mchana.
  11. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Hongera Masuguri Mkuu wa Majeshi Mstaafu kwa kuongeza umri miaka 103

    Leo tarehe 4 Januari 2023, Mkuu wa zamani wa Jeshi la Wananchi (JWTZ) Jenerali David Musuguri ametimiza miaka 103 ya kuzaliwa, Jenerali alizaliwa tarehe 4 January, 1920. Ktk siku ya leo Watanzania tunakupongeza na kukuombea sana kwa Mwenyezi Mungu akupe Afya na Maisha Marefu zaidi na Zaidi...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais mstaafu wa Korea Kusini aachiwa huru

    Rais wa zamani wa Korea Kusini, Lee Myung-bak amepata msamaha wa Rais na kukatiza kifungo chake cha miaka 17 jela kwa ufisadi. Rais wa Korea Kusini, Yoon Seok-yeol ametoa msamaha huo kwa Lee, leo Jumanne ya Desemba 27, 2022 kama sehemu ya msamaha wa watu wengi ambao ni kawaida katika nchi hiyo...
  13. thetallest

    JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande kuongoza Tume ya Kuchunguza Ukiukaji wa Haki za Binadamu Ethiopia

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohamed Chande Othman atakuwa Mwenyekiti wa Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu nchini Ethiopia ambayo itafanya kazi chini ya Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa. Tume hiyo ya Watu 3 imepewa Mamlaka ya kuchunguza madai ya Ukiukaji wa Haki za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Huyu mstaafu tumrudishe Ikulu 2030. Mnasemaje bhandugu?

    Rais mstaafu wa awamu ya nne bado ana nguvu za kimwili na kiakili na bado anapendwa na watanzania. Najitokeza hadharani kumshauri na kumpa shime 2030 achukue fomu ya kugombea urais wa nchi hii. Ndugu msomaji usije kupinga wazo langu kwa hoja za ukiukwaji wa katiba. Katiba ya Tanzania haifuatwi...
  16. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Meya Mstaafu Jacob: CHADEMA kukosa Wabunge kunaathiri Wananchi

    Meya wa zamani wa manispaa za Kinondoni na Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob amesema kutokuwepo kwa wawakilishi wanaotokana na Chadema katika Bunge na mabaraza ya madiwani kunawaathiri zaidi wananchi. Jacob, aliyekuwa diwani wa Ubungo kwa miaka 10, amesema anaamini Chadema ingekuwa na...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Kikwete umesahau dhana ya KUJIVUA GAMBA kwenye utawala wako leo unamwambia mwenzako anavumilia upuuzi

    Rais Mstaafu Kikwete anamwambia Rais Samia kwamba kwenye utawala wake hakukubali upuuzi Lakini watanzania wote bado tunakumbuka nchi alivyoitumbukiza kwenye matatizo mengi kama uendeshaji duni wa chama na Serikali mpaka ikafikia hatua hatua ya KUJIVUA GAMBA ili kuinusuru CCM. Nchi iliingia...
  18. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Azimio

    Aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Uhuru Kenyatta anatarajiwa kujiuzulu kama Mwenyekiti wa Muungano wa Azimio, aliobuni pamoja Mhe' Raila Odinga katika kampeni za Uchaguzi Mkuu uliopita. Hatua hii ina maana kuwa sasa Raila Odinga na mgombea mwenza Martha Karua ndio watakaondelea kuongoza Muungano...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mstaafu Jakaya Kikwete anakerwa na nini?

    Mstaafu Jakaya Kikwete anawashwa na nini? Na Mjumbe wa Mkutano Mkuu MWAKA 2017, aliyekuwa Rais wakati huo, John Pombe Magufuli, alisema: "wastaafu wengine hawachoki kusema, wana washwa washwa." Magufuli alitoa kauli hiyo kuwalenga baadhi ya wastaafu ambao aliwaona kuwa wanaleta chokochoko...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Kwa Tathimini ya Sauti na Mtiririko wa Sauti Huyo Mstaafu huko Dodoma Hajamaanisha Alichosema. Soma Zaidi

    Habari zenu. Mtaji wa maisha ni Akili zetu na thawabu to Kwa mola wetu, watanzania kuweni na akili kubwa tumieni hata Milango mikuu ya fahamu ya mwanadamu kufanya tathimini viongozi wanapotumia jukwaa kuzungumza mambo. Fanyeni rejea ya mstaafu akiongea kama mtu aliepooza, wa baridi, Nuru...
Back
Top Bottom