Kikwete alishindwa uongozi kama Rais na sasa ameshindwa tena kama Mstaafu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,444
8,297
Wakati wa Utawala wake...

Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi.

Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza kiufupi nchi aliiikabizi kwa mabwenyenye wachache. 2005 alipita wa kura nyingi sana 88%, lakini Awamu ya Pili pamoja na kuiba kura aliambulia kama sikosei ni 59% watu walikuwa wamechoka mithili ya harufu mbaya.

Huyu mwamba alipuyanga sana. Hakuna mtu alitaka hata kumsikia. Bila uongozi mbovu wa Kikwete Magufuli asingekuwa Raisi, Magufuli alikuja kunusuru nchi isiende kwa Wapinzani.

Kwa Nini kashindwa kama Mstaafu

Kwa utamaduni wa Kitanzania Raisi mstaafu ni Nguzo muhimu sana hasa pale taifa linapotaka kukosa mwelekeo, lakini pia anajukumu kuwaelekeza njia bora za kupita aliowaacha.

Nafikiri mnakumbuka ni namna gani Nyerere alivyokuwa macho hata baada ya kustaafu, alikuwa akisimama kusema jambo taarifa lazima litulie.

Vile vile Mkapa alikuwa akisimama kidete pale mambo yalivyokuwa yanaenda kombo hasa kipindi cha uchaguzi, sauti yake iliheshimika sana.

Leo hii tuna Kikwete sijui hata anafanya hini, suala lililoniuzi ni hili la Sukuma na Msoga gang kutokalipiwa hadharani tena kwa ukali; limeleta mgawanyiko makubwa sana. Mstaafu yupo anaongea kwa kujificha ficha, ovyo kabisa.

Kikwete anazidi kushindwa kwasababu hata ushauri anaotoa kwa Rais Samia unaonekana ni wa ovyo kwasababu unapingwa kila kona ndani na nje ya nchi. Mbaya zaidi hataki kutoka hadharani kuweka mambo sawa kama Mstaafu.

Kiufupi nafasi ya ustaafu haintendei haki, hii inatokana na kutokuaminika na watu wengi maana uongozi wake ulikuwa ni fedheha.

Namshauri Kikwete awe Mzalendo, kashazeeka atapendwa na wengi, aache kumpoteza Rais Samia na kuyumbisha Serikali.
 
Uzi wako unahisia nyingi,Mzee Kikwete hana baya hakuwa na husda,chuki wala visasi.

mimi ninachojua utawala wa Kikwete alifungua sana nchi hasa kwenye kukaribisha wawekezaji ajira zilikua nyingi mzunguko wa pesa wa uhakika,watu waliuza na kununua biashara zilifanyika.

watu walikula bata wakasaza,siku za weekend majiji kama ya Dar,Mwanza na Arusha yalikua ya moto ni full hekaheka.
 
Mwinyi km sio Nyerere angeibomoa kabisa tanganyika

Kashfa za awamu ya pili

Uuzaji wa loliondo
Mke wake kutorosha dhahabu uarabuni
Kuingiza tanzania ktk jumuiya ya kiarabu
Kutaifishwa kwa viwanda na kupewa sandakalawe kina bakresa,dewj nk
Benki kuu kuwa mufilisi
Nilikuwa namaanisha kuongea hali ya kisiasa nchini maana na yeye alikuwa rais
 
Nyinyi humu kila siku mnataka Kikwete asijihusishe na siasa ..astaafu..
Hadi mkampa jina "mstaafu aisetaka kustaafu"...
Halafu tena mnataka awe nguzo na kushauri?alazimishe ushauri wake usikilizwe hata kama wahusika hawataki??

Seriously mnatakaje???
 
Uzi wako unahisia nyingi,Mzee Kikwete hana baya hakuwa na husda,chuki wala visasi.

mimi ninachojua utawala wa Kikwete alifungua sana nchi hasa kwenye kukaribisha wawekezaji ajira zilikua nyingi mzunguko wa pesa wa uhakika,watu waliuza na kununua biashara zilifanyika.

watu walikula bata wakasaza,siku za weekend majiji kama ya Dar,Mwanza na Arusha yalikua ya moto ni full hekaheka.
Aise duh kuna watu wana uwezo mdogo sana.

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Dr.slaa " huu mkataba wa waarabu kununua bandari za Tanzania ulikuwa ufanyike awamu ya nne ila wazalendo wakaukataa"

Huu mkataba wa kuuza nchi imerudi tena baada ya Mama Samia kukalia kiti
Duuuh kumbee ilianzia kwakee mtoto wa mjini. Bas sawaa
 
Wakati wa Utawala wake...

Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi.

Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza kiufupi nchi aliiikabizi kwa mabwenyenye wachache. 2005 alipita wa kura nyingi sana 88%, lakini Awamu ya Pili pamoja na kuiba kura aliambulia kama sikosei ni 59% watu walikuwa wamechoka mithili ya harufu mbaya.

Huyu mwamba alipuyanga sana. Hakuna mtu alitaka hata kumsikia. Bila uongozi mbovu wa Kikwete Magufuli asingekuwa Raisi, Magufuli alikuja kunusuru nchi isiende kwa Wapinzani.

Kwa Nini kashindwa kama Mstaafu

Kwa utamaduni wa Kitanzania Raisi mstaafu ni Nguzo muhimu sana hasa pale taifa linapotaka kukosa mwelekeo, lakini pia anajukumu kuwaelekeza njia bora za kupita aliowaacha.

Nafikiri mnakumbuka ni namna gani Nyerere alivyokuwa macho hata baada ya kustaafu, alikuwa akisimama kusema jambo taarifa lazima litulie.

Vile vile Mkapa alikuwa akisimama kidete pale mambo yalivyokuwa yanaenda kombo hasa kipindi cha uchaguzi, sauti yake iliheshimika sana.

Leo hii tuna Kikwete sijui hata anafanya hini, suala lililoniuzi ni hili la Sukuma na Msoga gang kutokalipiwa hadharani tena kwa ukali; limeleta mgawanyiko makubwa sana. Mstaafu yupo anaongea kwa kujificha ficha, ovyo kabisa.

Kikwete anazidi kushindwa kwasababu hata ushauri anaotoa kwa Rais Samia unaonekana ni wa ovyo kwasababu unapingwa kila kona ndani na nje ya nchi. Mbaya zaidi hataki kutoka hadharani kuweka mambo sawa kama Mstaafu.

Kiufupi nafasi ya ustaafu haintendei haki, hii inatokana na kutokuaminika na watu wengi maana uongozi wake ulikuwa ni fedheha.

Namshauri Kikwete awe Mzalendo, kashazeeka atapendwa na wengi, aache kumpoteza Rais Samia na kuyumbisha Serikali.
Naunga mkono ulichosema
 
hivi una ushahidi kwamba alishindwa uongozi?au ni porojo tu,na je una ushahidi upi kuwa kamshauri nini rais wa sasa na kimepingwa?
 
Back
Top Bottom