Askari Polisi mstaafu, Saba Sita anafukuzana na kivuli cha mauti yake

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172
images-1.jpeg
download.jpeg
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.

Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya.
Mauti yake yamemkaa akilini kisawasawa na hafikirii kitu kingine cha maendeleo.
Huyu Saba Sita asingekuwa na muonekano wa afya, tungesema anaumwa, anatamani kufa.

Hisia zangu ni kwamba huyu Saba Sita kuna kitu kinamsumbua kiakili. Kuna mahali kacheza rafu wakati wa utumishi polisi.

Kuna harufu ya damu inamfukuzia.
 
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.

Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya...
Ni mipango madhubuti kukwep a wanafamilia kuanza kuwaza waanzie wapi na michango.

Ametumia haki yake na kwa kuwa binadamu iko siku hatujui yeye amejiwekea vizuri likitokea la kutokea kila.kitu kiko sawia.

Pesa zenu za michango kaeni nazo.

Aungwe mkono na pia wewe unaweza kulianzisha.
 
Ni mipqngo mathubuti kukwep a wanafamilia kuanza kuwaza waanzie wapi na michango.
Ametumia haki yake na kwa kuwa binadamu iko siku hatujui yeye amejiwekea vizuri likitokea la kutokea kila.kitu kiko sawia.
Pesa zenu za michango kaeni nazo.
Aungwe mkono na pia wewe unaweza kulianzisha.
Michango itakuwepo tu
Chakula watu wale na pia hata yeye hajui atakuja fia wapi aweza fia mbali kunakohitaji asaforishwe hadi hapo

Mfano anaumwa akafia muhimbili michango itatakiwa tu
 
Huyu askari mstaafu Kimaro a.k.a Saba Sita, anafukuzana na kivuli chake cha mauti.

Siyo rahisi kwa mila za kiafrika, kukikaribisha kifo kwa bashasha na kimipango kama huyu Saba Sita anavyofanya...
Mkuu masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa!

Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana!

Ndiyo maana baadhi yetu wakipata nafasi wanapora mali za uma.

Na kujilimbikizia mapesa mengi utadhani wana miaka 5000 hapa duniani. Huku wakiwaacha wenzao hohe hahe mzumgu wa leri.

Saba sita ametoa funzo kubwa sana, kwamba; sisi binadamu humu duniani tunapita upesi na kutoweka!
Tumche Mwenyezi Mungu ndugu yangu.

Hakuna maisha hapa.
 
Kifo Mkuu ³masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa!
Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana...
Kifo kipo lakini sio cha kuchongea jeneza sababu mtu hujui utafia wapi. Kuna wale MV Bukoba meli ilizama wengine hadi leo hawajapatikana, kuna walioungua moto malory ya mafuta yalipolipuka miili ikaungua kiasi mtu.hatambuliwi, Ndege ya Malyasia ilipotea na abiria wote hadi leo miili yao haijawahi kupatikana irudi kuzikwa kwao

Sidhani kama ni sahihi kujijengea kaburi na jeneza sababu binadamu huwezi jua kifo utakutana nacho wapi na kitakuwaje.
 
Mkuu masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa!
Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana!
Ndiyo maana baadhi yetu wakipata nafasi wanapora mali za uma.
Na kujilimbikizia mapesa mengi utadhani wana miaka 5000 hapa duniani. Huku wakiwaacha wenzao hohe hahe mzumgu wa leri.
Saba sita ametoa funzo kubwa sana, kwamba; sisi binadamu humu duniani tunapita upesi na kutoweka!
Tumche Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Hakuna maisha hapa.
Karma is a bitch.
👇👇👇
Afande Sabasita ahamishiwa CCP; alihusishwa na tuhuma za kumdhuru Dr. Mwakyembe
 
Mkuu masopakyindi, Saba Sita yuko sahihi haswaaa!
Sema tulio wengi tunapenda kujidanganya kwamba duniani tupotupo sana!
Ndiyo maana baadhi yetu wakipata nafasi wanapora mali za uma.
Na kujilimbikizia mapesa mengi utadhani wana miaka 5000 hapa duniani. Huku wakiwaacha wenzao hohe hahe mzumgu wa leri.
Saba sita ametoa funzo kubwa sana, kwamba; sisi binadamu humu duniani tunapita upesi na kutoweka!
Tumche Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Hakuna maisha hapa.
Sasa kila mtu akianza kujichongea jeneza na kujichimbia kaburi, tutakuwa jamii ya aina gani?
Badala ya kufikiria maendeleo na vizazi vijavyo, tuwe tunaenzi kifo!
Si sawa kabisa, huyu askari ana mapepo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom