msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Msingi NANJANGA haina nyumba ya mwalimu

    Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini. Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa chumba cha kulala. Shule hii ina walimu sita, wanafunzi 150 na imeanzishwa mwaka 2016. Haina...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Tujadili mambo ya msingi

    Ni sababu zipi, zinazo kukwamisha wewe kutokuwekeza biashara, kiwanda, au uchimbaji wa madini Ulaya?
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule za Msingi Gmhasa Tumaini iliyopo Ilala wanalazimisha Watoto waende wikiendi wakiwa na hela za mitihani

    Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani. Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara wa Shule za Msingi - Mbulu DC (Manyara) wanatulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu

    Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma vyafanyiwa usafi

    Mei 25, Mdau alipost picha za muonekano wa Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni iliyoko Kata ya Msamala Manispaa ya Songea Mkoani Ruvuma, akaonesha jinsi hali ilivyokuwa mbovu na ya kusikitisha na kwamba mazingira yanatia hofu kwa afya za Wanafunzi. Hoja ya Mdau ~ Vyoo vya Shule ya Msingi Miembeni...
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nyaraka 5 za msingi unazohitaji ili Kujenga Kiwanda Kidogo cha Kusafisha Mafuta (Min Petroleum Refinery)

    Wakuu salamu, Leo ningependa tushirikiane uzoefu na maarifa kidogo kuhusu uwekezaji mkubwa wa kimkakati katika sekta ya nishati, hususan ujenzi wa viwanda vidogo vya kusafisha mafuta (Min Petroleum Refineries). Naam, ili mpango wako wa biashara ya usafishaji mafuta (Petroleum Refinery Business...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  9. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Wahitimu tuliomaliza mwaka 2014 - 2019 tunaomba haki sawa katika upatikanaji wa ajira

    Sisi Wahitimu tuliomaliza masomo yetu kati ya mwaka 2014 na 2019 tunaomba Sekretarieti ya Ajira izingatie utaratibu wa kutenga au kugawanya baadhi ya nafasi za ajira kati ya wahitimu wa muda mrefu na wahitimu wa karibuni. Hatua hii itasaidia kutoa fursa sawa kwa Watanzania wote wanaotafuta...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au mkataba shule ya msingi kupitia mradi gpe ambao tuliletwa na Tamisemi, tupo nchi nzima mpaka sasa hatujalipwa

    Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi februari 2026, tena baada ya kutoa kero yetu hapa jamii forums ndipo malipo yakafanyika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuota upo shule ya msingi

    Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii, Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌 Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki ndio Msingi wa Amani

    "Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae" Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  14. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Chanjo ya Minyoo na Kichocho inayotolewa Shule za Msingi yadaiwa kuua Wanafunzi Jijini Mbeya

    Watoto wa shule ya msingi jijini Mbeya wamepata matatizo ya kiafya ikiwemo kuumwa tumbo na kutapika na wengine kufaliki baada ya kupewa chanjo ya vidonge kwa ajili ya minyoo na kichocho. Miongoni mwa mwanafunzi aliyefaliki ni mwanafunzi wa kike mwenye miaka minne aliyekuwa anasoma Shule ya...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kero ya Michango ya Uandikishaji na Chakula Shule ya msingi Mkuza

    Habari, Mimi ni mzazi nawakilisha wazazi wenzangu ambao wamechoshwa na kero hii. Mimi ni Mkazi wa Kibaha Manispaa, mkoa wa Pwani. Tumechoshwa na kero ya michango mashuleni hasa shule ya Msingi Mkuza iliyopo kata ya Picha ya Ndege kituo cha daladala maarufu kwa Mbonde Wamekuwa na utaratibu wa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Nagu: Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuboresha Huduma za Afya Msingi

    Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia afya Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa, Serikali imewekeza zaidi ya Shilingi Trilioni 1.34 kuleta mageuzi katika utoaji wa huduma za afya msingi ndani ya kipindi cha miaka minne iliyopita ya uongozi wa...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kashfa za 'udikteta' zinazomuandama Mbappe zina msingi wowote?

    Kuna hii kashfa kuwa kajamaa ni kadikteta🤣 Kashfa hii ina msingi wowote?
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Matosa - Goba (Dar) eneo la Shule ya Msingi More Light hakuna maji mwezi mmoja sasa

    Wakazi wa Matosa - Goba DSM, hususan eneo la Shule ya Msingi More Light, tumekumbwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Kila tunapouliza, tunaelezwa kuwa bomba linaloleta maji kutoka Uzalamoni limeharibika, hata hivyo, inashangaza kuona kuwa bomba hilohilo...
Back
Top Bottom