Kuota upo shule ya msingi

Kuota upo shule ya msingi

Mazima1

Senior Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
132
Reaction score
342
Nilipoteza kazi since mwaka jana nipo nyumbani hadi leo hii,

Kuna Ile siku unaamka huna hata shilingi mia yaan hii hii shilingi mia moja ya kitanzania🙌🙌

Nimepiga interview nyingi then after hapo no feedback

Kuna interview nyingine nilifanya nikaambiwa nitaitwa second interview,hii nilikuwa na uhakika napenya ila majibu holla,nikasema nimpigie huyo HR na tulikuwa tunawasiliana vizuri,hakupokea simu zangu tena na hapo naona anapost social media kama kawaida🤔

Halafu nakuwa naota sana zile ndoto nipo shule ya msingi mara nipo kijijini kwetu na nilikuwa sioti hizo ndoto kabla ya hapo,

Yaani kila kitu kimestuck kabisaaa

Huwa mnatokaje kwenye huu mkwamo?
 
Pole
Ndoto ni halisi ndugu...
Na ndo masna zinakupa sjida mpk umeona uje kuuliza...
Hii ni spiritual thing..

Hiyo ndoto haina maana moja...
Pamoja na unachopitia, Mungu anakupa taarifa . ...

Hapo mpk uombe kuvuka (though sijui imani yako)
Majibu yangu yatabase kwenye biblia....(imani ya kikristo)

Mjibu Aleyn kwanza hapo juu ni maswali ta msingi
 
Nimeziota sana hizo ndoto za shule ya msingi, hasa hasa yale maeno tuliyokuwa tukicheza mpira shule. Lakini mambo yanaenda namshukuru Mungu.
Ni kumbukumbu tu ambazo mtu alipitia kwenye maisha yake , na zote zimetunzwa kwenye ubongo, kama memories zako zipo vizuri unaweza ota mambo mengi tu hata ya utoto
 
Kuota upo shule ya msingi pekee haitoshi sababu ulipaswa useme

1. Ulikuwa unafanya nini
2. Ulikuwa na nani?
3. Asubuhi, mchana au jioni
4. Ulikuwa darasani, nje ya darasa
5. Mwanafunzi wa shule hiyo? Ulisomaga hapo?
Kuhusu ndoto ya shule ya msingi ni kawaida tu huwa naota tupo darasani n.k
Ila Kuhusu ndoto ya kuota kijijini kwetu nakumbuka ndoto mbili,
-kuota nimekamatwa na polisi huku nimevaa mavazi ya wafungwa
-Kuota nipo na mama,baba tunatoka kulima kwenye mashamba ya watu.

Binafsi nadoubt kwa sababu mambo yangu yakiwa yanaenda vizuri huwa sioti hivo,huwa naota hivo pale tu mambo yangu yakiwa yanaenda vibaya kama kipindi hiki.
 
Mimi kila wiki lazima niote nachakata mbususu, yaani naota mdada ana shanga za kilo 10 kiunoni, anakatika balaa huku akisema mzee poker ongeza mapigo, namimi naichakata na kuipepeta haswa. Nami pia naombeni msaada.
 
Back
Top Bottom