Rais Samia: Haki ndio Msingi wa Amani

Rais Samia: Haki ndio Msingi wa Amani

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
914
Reaction score
3,173
"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"

Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni, Uapisho huo umefanyika Ikulu, Jiji Dar Es Salaam

Pia soma:

Juzi kati tu hapo yeye na masheikh ubwabwa si walikuwa wanasema AMANI NDIO MSINGI WA HAKI, sasa naona akili zimeanza kurudi polepole nafikiri hadi 2030 zitakuwa zimerudi zote.
 
Kauli yake ni sahihi kabisa, lakini swali la msingi kwake, Je, anatembea juu ya maneno yake? Au anasema tu kwa kujifurahisha?
 
Hatembei na haki hata ma 4R yake nayo hayafati,kwa hio mtu kama huyu ni wa kuachana nae tu
 
Juzi kati tu hapo yeye na masheikh ubwabwa si walikuwa wanasema AMANI NDIO MSINGI WA HAKI, sasa naona akili zimeanza kurudi polepole nafikiri hadi 2030 zitakuwa zimerudi zote.
Muda ndio utatupa ukweli wa kauli yake.
 
Na hiki ndio anaweza kufanya vzr kuapisha tu yuko vyedi. Anatamani ndio iwe kazi y cku zote. Na sio vinginevyo!!
Kazi ni kipimo cha utu.
 
"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"

Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni, Uapisho huo umefanyika Ikulu, Jiji Dar Es Salaam
Screenshot_20260415-144632~2.png
 
Faki zati demon-possessed bi+ch!
 
imekuwaje tena. Mashekh ubwabwa kama nawaona
"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"

Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni, Uapisho huo umefanyika Ikulu, Jiji Dar Es Salaam

Pia soma:

"Kwa kutambua umuhimu wa haki kama misingi ya amani, utulivu, lakini pia maendeleo ya taifa letu, na ustawi wa wananchi kwa ujumla. Haki ndiyo inayo-prevail katika hayo yote hayo. Nendeni mkae"

Hayo yamesemwa na Rais Samia Leo, Mei 26,2026 wakati akiwaapisha Majaji aliowateua hivi karibuni, Uapisho huo umefanyika Ikulu, Jiji Dar Es Salaam

Pia soma:

Nafikiri tulishakubaliana na BAKWATA kuwa Amani ndiyo msingi wa kila kitu
 
Back
Top Bottom