A
Anonymous
Guest
Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini.
Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa chumba cha kulala.
Shule hii ina walimu sita, wanafunzi 150 na imeanzishwa mwaka 2016. Haina nyumba hata moja ya mwalimu.
Hali hii inapelekea usiamamizi usio na tija kitaaluma na maendeleo ya shule