mshana jr

  1. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nikiwa na mpenzi wa pembeni sisimamishi

    Habari zenu, Mambo yako hivi, kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kama zaidi ya mwaka hivi. Ndio main chick kwa sasa, kitandani nipo nae vizuri saana, yaani sina tatizo kitandani. Hapo juzi kati kuna mwanamke mwingine nikaanzisha mahusiano nae. Yule mwanamke wangu wa kwanza akajua, akalia...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kumekuwa na hadithi na simulizi nyingi nzuri. Lakini hii inaweza ikawa nzuri zaidi. Inaitwa ULIMWENGU WA MATAJIRI

    Email. nipenguvu@gmail.com Instagram. nipenguvu “Ee bwana wangu! Nisahidie mimi mja wako”. Ilisikika sauti ya hofu kutoka kwa mama mmoja akiwa kanisani huku akiwa anatetemeka.Siku hiyo ilikuwa siku ya jumapili katika kanisa moja lililopo kijijini, pembezoni kabisa mwa mji uliozungukwa na...
  3. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Hapa mkuu Lifecode alikuwa anamaanisha nini?

    Habari zetu wana JF, Naomba mnisaidie kudadavua au kutolea maelezo kidogo au kwa upana kuhusu hiyo short notes ya mkuu lifecode nimejaribu kuchokoza mara kwa mara lakin holaa. Natanguliza shukuran. Trained bender (Lifecode) Language that the universe speaks is through symbols asigned into...
  4. muhubiri mpya

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Afrika wanazuia viongozi kuwa viongozi

    Naomba nianze kwa kuwasalimu, habari za wakati huu Kwa zaidi ya nusu muongo nimekuwa nikifuatilia mijadala ya huku ndani JF nimekuja kugundua kuwa Taiifa hili na Afrika kwa ujumla tuna hazina kubwa ambayo hatuitumii kabisa Naomba nianze kwa kusema kuna tofauti kubwa ya mtawala na kiongozi...
  5. X

    JamiiForums Tanzania Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

    Wanafunzi wanaoendelea na masomo vyuo vikuu vya Tanzania hujishughulisha na shughuli mbalimbali za kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza, ikiwemo mizaha na vicheshi miongoni mwa wanafunzi wenzao. Mabadilishano haya ya ucheshi husaidia wanafunzi wapya kuhisi sehemu ya utamaduni wa jumla na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

    Umofia kwenuuu wanabodi! Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa DC wa namna ya kushighulika na sakata hili! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana...
  7. kipipili

    JamiiForums Tanzania Niunganishe na kazi ya umeme upate kamisheni ya asilimia 30

    Ndugu wadau, Kwa yeyote mwenye connection ya kazi ya umeme ya size ya chini na ya Kati, iwe ya nyumba au kiwandani, akiweza kuni connect nitakupitia 30 percent ya value ya kazi ukitoa materials. Kazi yote nitaifanya kwa ufanisi mkubwa. Kumbuka na risiti ya EFD inatolewa inapohitajika. Please...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri. Nna tatizo serious

    Mm n kijana wa 28yrs. Ilitokea kupata watoto wawili wa kike na binti wa kichaga (muuru) ambapo watoto hao wote walikuwa prematured chini ya miezi 7na walikufa wote kwa nyakati tofauti (walipishana mwaka moja). Mtoto wa wanza alikuwa prematured wa miezi6 hospital ilikataa kumtoa ingawa...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Tambua mambo sita ya ajabu kutoka kwa jamii ya Aghori nchini India

    Habarini za Alhamisi natumaini mpo vizuri sana, poleni kwa wale wagonjwa Mungu awape afya njema. kama ilivyo kawaida yangu ya kuwaletea makala za kutambua mambo mbalimbali kuhusu jamii kadhaa hapa duniani. kuanzia utamaduni wao, mila pamoja na namna ya maisha yao kwa ujumla. Leo nitakuja...
  10. mzee wa kasumba

    JamiiForums Tanzania Nimewakumbuka wapenzi wangu wa zamani

    Zawadi zawadi yangu, uwapi binti mweupe Kipenzi wa roho yangu, kabinti mwenye mapepe Na ahadi za kizungu, wacha ukweli nikupe Leo nimewakumbuka, ma X wa kitambo Kwakuwa mwana sanaa, nitawataja kwa beti Yameshapita masaa, simsahau Bahati Alojiona staa, ameolewa BABATI Leo nimewakumbuka, ma X wa...
  11. Amafita

    JamiiForums Tanzania Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

    Kwema wana JamiiForums?!!! Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI. Hivyo basi kuanzia leo ukienda...
  12. Amafita

    JamiiForums Tanzania Nina uhahika 98% hawajui hili

    Habari wa JamiiForum. Najua imezoeleka katika jamii zetu kwa rika zote (watoto, vijana, wazazi na hata wazee) aidha wasomi au wasio wasomi kutumia neno Nimekumiss pale unapomaanisha kumkumbuka mtu hasa uwepo wake. Hata hivyo neno mbadala la kiswahili ni Kupeza hivyo basi unaweza ukwamwambia...
  13. Toosie Slide

    JamiiForums Tanzania ApexTv na Noah

    Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda. Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha...
  14. Fortunatus Buyobe

    JamiiForums Tanzania Barua ya majibu ya Msekwa kuwajibu Kinana na Makamba hii hapa

    BARUA YA MAJIBU YA AWALI. Ndugu Abdulrahman Kinana, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; Ndugu Yussuf Makamba, Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu; DAR ES SALAAM. Tarehe15 Julai, 2019. Nakiri kupokea barua yenu ya tarehe 15 07/ 2019 ambayo mliisaini wote wawili, na ikawasilishwa kwangu kwa mkono na Mhe...
  15. FENtastic

    JamiiForums Tanzania Milango minne ambayo haijawahi kufunguliwa

    Kuna milango hapa duniani kwenye maeneo ya kihistoria kwa miongo au karne kadhaa haijawahi kufunguliwa. Swali linakuja ni kwanini? Imezoeleka unaweza kufungua mlango wowote utakavyo, lakini kiukweli kuna ambayo imepigwa kufuli au kuzibwa kiasi cha kwamba haifunguki kabisa. Pia haijajulikana kama...
  16. Myahudi Jr II

    JamiiForums Tanzania Sasa nataka nijifunze Kiingereza cha Kuandika...

    Habarini wadau.... Kwa muda mrefu sanaa nimekua nikipata shida sana kwenye Lugha ya Malkia hasa kwenye kuandika/kuongea wakati humu ndani kuna wadau wengi sana wanaijua lugha ya malkia vizuri sana Kama kila mdau anavyoichukulia JF kuna mengi sana ya kujifunza. Ni hivi, Nikisoma kitabu cha...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Mbeya Tumekukataa Mh. Tulia

    Hii nimeichota sehemu... TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na watu wake wanavyodhani. Sawa anaweza kuwa mgeni kisiasa. Lakini hawezi kuwa mgeni wa hulka za...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Enock Maregesi:- Utafiti na Majibu ya utafiti wa umri wa dunia

    Kutokana na utafiti wangu wa siku mbili zilizopita, nimegundua kuwa si kweli kwamba dunia yetu ina umri wa miaka 6,000 ya mwanadamu. Bali, ina umri wa miaka 13,000 ya Mungu. Biblia yenyewe inasema kuwa siku 1 ya Mungu ni sawa na miaka 1,000 ya mwanadamu (Zaburi 90:4; 2 Petro 3:8). Lakini...
  19. FOX21

    JamiiForums Tanzania Tetesi: ZIWAFIKIE..!!

    Natanguliza salamu zangu na shukran kwa ndugu jamaa na marafi ndani ya hili jahazi, ni muda mrefu nimejarb sana kuweza kujiunga pamoja nanyi ila sio mgeni sana nilikuw nikpta 2 na kuzisoma post nying na kujifunza meng kutka kwa ndugu #Mshana jr, na wengineo. ...¤1 LOVE¤...
  20. princemikazo

    JamiiForums Tanzania Bungeni Jamaica

    Haille Selassie Wa gwan Rastafari I Conquer the Babylon King of Lion..Pichani ni Baadhi ya Wabunge wa Jamaica wakiwa Bungeni wakifuatilia mjadala mujarabu...Yah Man Jah Bless Em'..Bless bless bless,Booom..!! @ChaliiYaKijengeJuu.
Back
Top Bottom