Toosie Slide

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
786
945
Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu wengi sana kuhusu kusafiri kwa muda.
Tarehe 23 July 2019, ApexTv walirusha video yake ambayo inaonyesha sura ya Noah. Kwenye hiyo video Noah anataja jina lake halisi. Lakini jamaa aliendelea na kua yeye hajatokea mwaka 2030, yeye ni kijana ambaye hana kazi ya kufanya {jobless} kwa iyo akaamua kutengeneza uongo kwamba anatokea mwaka 2030. Huyu chalii alitangazwa sana kwenye vyo vya habari vya huko Marekani. Pia kwenye lie detector chalii hakushikwa kabisa na hivyo vifaa ikapelekea watu wengi sana kumfatilia.
Wanaoamini time traveler ipo au inawezekana mna lipi la kuchangia hapa.
 
Moja ni hallucination kwa baadhi ya watu
Pili time travel into future ipo na asili yake ni jicho la tatu pamoja na roho inayotoka na kuvuka mipaka ya nyakati kwenda mbele kabla ya wakati
 
Back
Top Bottom