Habari yenu wana jf.
Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
Barabarani unakutana na mwanamke mchuuzi maskini mwenye mtoto mgongoni,Unashusha kioo cha gari lako na kumuuuliza kwa sauti ya kijeshi
"UNAUZA BEI GANI HIVYO VITUNGUU NA HIZO NDIZI"?
Muuzaji maskini kwa upole anakujibu "shilingi elfu moja kwa kichane cha ndizi na shilingi elfu moja kwa fungu...
Nilitahiriwa nikiwa na miaka 30 tena nikiwa nimeoa tayari. Ilikuwa shida sana, ngoma inaweza kudinda with no apparent reason, sasa zile nyuzi zikivuta ni maumivu makali kweli kweli. Nilijuta kwa nini niliamua kufanya tohara.
It was a sruggle! what about you?
ZAMA ZA ZAMANI
Ilifika wakati zama za zamani zikarudi,
wala siyo vile vunubi makanisani
Bali mtindo wa maisha ya duniani
Ule ukweli ukawa uongo na uongo ukawa ukweli
Matendo ya mbinguni wakahadithia waumini
Wako walioamini lakini hawakusadiki
Dunia ya duniani ikakatiza duniani
Hapo hata...
Habari za jioni ndugu zangu, >straight to the point" majuzi nili mtembelea rafiki yang aliye kuwa anapata matibab kwa mganga wa kienyeji ambapo alikaa ndani ya wiki 2. Na Hali yake nilikuta inaendelea vizur tu ila nikiwa pale Kuna tukio nilishuhudia likanipa mawazo Sana.
Kulikuwa na jamaa...
Sio kila mtu anaweza kuwa na uelewa wa masuala yote, unaweza kufanya jambo kwa nje likaonekana zuri sana ila kwa ndani kumbe lina shida kubwa. Unaweza kufanya jambo lenye matokeo chanya au hasi kwa siku za usoni ila kumbe kwa siku za baadae likawa na matokeo tofauti.
nitajikita kwenye kutoa...
Pamoja na changamoto za maisha zinavyotupeleka kasi, hivi karibuni kumekuwa na matangazo kila kona ya kurejesha uanaume. Mshana husema urijali, Bujibuji husema nguvu za kiume, hali kwa asilimia kubwa husababishwa na mwili kutokuwa na mazoezi ya kutosha ya kuushughulisha moyo (cardio).
Jambo...
Kwa miaka ya hivi karibuni jamii imekuwa ikishuhudia vitendo vingi ambavyo kwa namna moja ama nyingine si vya kingwana kabisa hasa kwa watoto wadogo waliopo chini ya umri wa miaka 15.
Sababu zimekuwa nyingi mno zinazopelekea kwa vitendo hivi kuwepo na kuongezeka kwa kasi sana baadhi ya sababu...
BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI.
Habari zenu ndugu zangu!
Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
Mimi ni kijana ambae nipo kwenye umri wa kuuvuka ujana na kuuendea utu uzima. Miaka ya nyuma mara kadhaa nimeshawahi kuumizwa sana kwenye mahusiano. Ilifikia kipindi nikaamua kuyapa kisogo mahusiano. Mbinu haswa niliyokuwa naitumia ni ku hit and run.
Ila baadae miaka 6 nyuma nilikutana na...
Kuachana na kusherekea sikukuu hizi kwa kupata burudani mwanana Pia tuna ndugu zetu wa kidigital hutufurahisha sisi tuliokosa location
Nabandika vimbwanga vyangu nilivyoshuhudia hapa duniani mwaka huu nawe bandika vyako
:D:Dtamka neno moja la kijasiri
:D Mubashara
Naaanza Mimi
Ni asubuhi nimeaamka Mara pa
Naona ka sijielewi duuh
Kumbe ni J3 mitungi ya Jana
Imenichanganya ndo mana hata sielewi
Ni noma kwenda mbele siunajua tena wasela ndo ivo 😀😀😀😀😀😀
Tupieni na yenu wakuu tuchekane humu najua wengine sio watunzi wazuri kama nilivyo mm tu ila shuka tu
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena
Ufunguzi huo utafanywa na Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo hii ni baada ya maridhiano kati ya Waumini na Uongozi wa Askofu...
Awali ya yote naomba kuweka interest zangu mbele, Mimi ni muumini wa mambo ya Kiroho. Ninaamini juu ya uwepo wa ulimwengu wa Kiroho. Nina amini kuwa, kabla ya mambo kuwa vile yanavyoonekana kuwa katika ulimwengu wa Kimwili, mchakato wake huwa unakuwa ulianzia Rohoni na baadaye kujidhihirisha...
Habari wadau,
Nimechaguliwa chuo zaid ya kimoja yaan DUT na CBE ila nimetumiwa sms ni confirm chuo kimoja ninachokita kupitia code number kupitia account cha chuo ninachokitaka.
Pia kuna chuo cha private niliomba ila siyo online na wamenichagua so nasubiri majibu ya majina waliyopeleka TCU...
Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini.
Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe.
Maji ya bahari!!! Hii...
Tutarajie kufurahia/Tutarajie kufadhaika
Vitu vinavyoongelewa na CCM mtu CHADEMA hawezi kukiona cha maana kwakuwa moja kiu yao ni kuona chama chao kinatawala nchi siku moja na na kipindi chao cha kutaka adhma yao hii itimie ni kipindi hiki watu wa CCM wawavulie kwakuwa ukweli siku zote...
Akili hupimwa Kwa matendo, na matendo huleta natokeo hasi au chanya. Maamuzi ambayo ni matokeo ya kufikifikiri hupelekea mtu kufanya matendo Fulani.
Swali nalojiuliza hivi sisi watu weusi je tunafanya maamuzi shihi Kwa wkati sahihi, je tunaweza kupima natokeo bora Kwa mambo yapi ya mfano...
Marekani imewawekea vikwazo waendesha mashitaka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) siku kadhaa baada ya mahakama hiyo kuidhinisha uchunguzi kuhusu tuhuma za uhalifu wa kivita unaodaiwa kutekelezwa na Marekani nchini Afghanistan.
WALE MASHABIKI WA USA NA WASHIRIKA WAKE, NA KUAMINI KUWA...
Dada mmoja alifiwa na mume wake kwenye ajali yapata mwaka sasa ni mzuri wa kila kitu nikajua mwaka hautaisha ataolewa so nna mishe zangu around anapoishi and simply ni mteja wangu since then, utani mwingi but with respect mwezi uliopita tukaanza kuwasiliana Kawaida tu bila maneno ya kuashiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.