Nyuma ya Pazia Seif kujiunga na ACT (Kuna kitu kinatafutwa) CCM Ikae Tayari

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
10,486
34,789
Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM.

JPM ni mtu hatari sana kwenye siasa, ni mtu anayeona tatizo kwa haraka na kujiandaa kulikabili vyema..alishaona anaenda kuwekwa mtu kati ndani ya CCM na watu ambao ana tofauti nao lakini wnye nguvu ndani ya Chama (Membe group)

Kwa jicho la tatu alifanya juu chini kuhakikisha kundi lenye nguvu zaidi ndani ya chama tawala linakuwa upande wake by any means (Lowasa group) na hapo akafanikiwa kulivunja nguvu kundi la upande wa pili, Lowassa bado ana nguvu kubwa ya kisiasa na ni mtaji mkubwa sana wa JPM...bila shaka JPM atapita kama mgombea urais kupitia chama tawala (Patamu hapo.)

Changamoto nyingine ilikuwa upande wa pili yaani upinzani, juhudi zilifanyika kuiangamiza CUF na kuimaliza nguvu Chadema, wabunge wengi na madiwani wametimkia CCM..na hilo amefanikiwa kwa kias kikubwa.

Hata hivyo kuna vichwa vitatu makini ambavyo JPM anatakiwa acheze navyo vyema Hawa ni Lissu, Zitto na Seif.

Hawa watu wametazama kwa umakini mwenendo wa siasa za bongo wakaona hakuna uwezekano wa vyama vya upinzani kushinda uchaguzi 2020 kwa njia ya kura, ukiachilia mbali mambo anayoyafanya JPM, bado jamaa anakubalika sana kwa wananchi hasa maeneo muhimu kwa kura, hivyo kwa vyovyote vike kushindwa ni hakika.

Kwa mtazamo huo Lissu na Zitto wkaamua kutafuta msaada nje ya box through western countries, na hivyo wanafanya kila wawezalo kuhakikisha Nchi za Magharibi zinaimulika Tz kwa jicho la pekee, JPM anajaribu kuwatikisa hawa jamaa wa magahribi, uongozi wake unaenda kinyume na propaganda za magharibi (mf ) kuminywa uhuru wa vyombo vya habari, kuminywa kwa democrasia na kuegemea kwake kwa nchi kama china n.k ..

Hivyo Lissu pamoja na Zitto wanatumia Mwanya huo kupress ili hizi nchi zihakikishe zinashawishika kumwondolea mbali JPM 2020, na kwa vyovyote vile Lissu na Zitto ni vibaraka wa hawa jamaa.

Hata hivyo hawa wazungu hawawezi kukupa tu msaada wa ushindi kwenye uchaguzi kama hawajajiridhisha ya kuwa watafaidika zaidi kuliko wanavyofaidika sasa, pili hawawezi kwenda nje ya propaganda yao ya democrasia na hivyo lazima ujipange kupata support ya wapiga kura wa kutosha, na hapa ndipo mkakati kabambe umesukwa....

Hoja ikaja, Ili kupata mtaji mkubwa wa wapiga kura lazima vyama vikuu vya upinzani viunganishe nguvu, mambo ya kupambana separately inabidi yakae pembeni...possibly mipango kabambe imeenda kama ifuatavyo.

CUF ni kama imeyumba sana, hata hivyo ni chama chenye mtaji mkubwa wa wapiga kura hasa visiwani na maeneo ya Pwani, huku chama kikiwa na mpasuko mkubwa, bado Maalimu Seif ana ushawishi mkubwa kwa wapiga kura na hivyo support yake haitakiwi kupuuzwa.

Kwa vyovyote vile Seif alitakiwa ahame ili kuhamisha kura sehemu salama kwa upinzani...suala la kidini likaibuka, chama cha Chadema kimsingi kina msingi wa kikristo sana , wanachama na wafuasi wa CUF 90% ni muslim na wana itikadi kali hawa watu.. Hivyo tactically haitaleta matokeo mazuri kwa Seif kuhamia Chadema, badala yake best option ikaja Seif atimukie ACT ambayo msingi wake mkuu pia ni uislamu na hivyo support itakuwa kubwa visiwani na Pwani.

Hivyo Zitto na Seif kazi kubwa waliyo nayo ni kuorganize wanachama wa CUF na ACT wazalendo wawe kitu kimoja for the final battle, kazi kubwa itakayobaki kwa Mbowe ni kuorganize wanachama wa Chadema kutokana na seleka seleka la kuhama kwa wabunge na madiwani ambalo kimsingi limepunguza ushawishi wa chama.... huku kazi kubwa ya Lissu akisaidiwa na Zitto ni kumobilize western support for the final Assault, kuelekea uchaguzi mkuu vyama hivi vitaungana ili kuleta impact kubwa zaidi na hapa inatengenezwa proper timing kulingana na matokeo ya mikakati itakavyokwenda .....

My take:
Ili mpango huu ufanikiwe Other factors should remain costant eg: Msuguano wenye ushawishi kati ya western countries +USA na JPM (Mpak sasa hivi hakuna msuguanao wenye maana), Kuibuka kwa makundi yenye nguvu zaidi ndani ya CCM yanayopingana na sera za JPM (Kurudi kwa Lowasa na Rostam, hili ni kama limezimika, but let us wait and see), kusiwepo na tofauti kati ya Zitto na Chadema kila mmoja aridhike na mipango itakayopangwa. nk....

Hivyo JPM inabidi akae mkao wa kula, hata hivyo JPM yupo vizuri sana kwenye kucheza na nyakati, bado yeye ndo ana nafasi kubwa ya kubadili mchezo anytyme, tutaendelea kushuhudia mambo mengi zaidi ya kisiasa kadiri tunavyohit ucahaguzi mkuu..Leo nimemuona mzee Kikwete akienda ikulu
 
Ndio maana tunavikataa hivi vyama
Wanajisumbua bure,ccm kung'oka bado sana
 
Mtu yeyote anaeamini kuwa jiwe ni strategist huwa ananifanya nicheke hata kama nilikuwa na huzuni. Jiwe ni jiwe proper; hajui cha strategy wala plans. Anachokiamini (lakini hata utekelezaji wake kwa kutumia akili haujui na hauwezi) ni matumizi ya mabavu.
 
Kweli wewe ni buludoza.

Magufuli yupo vizuri kivipi labda kubadili mchezo kwa kucheza na nyakati?
Yupo vizuri kwa kuteka, kutumia shaba, kubinya uhuru wa vyombo vya habari, kuzuia mikutano ya kisiasa, kulazimisha sheria kandamizi kwa wapinzani na mauzauza mengine kibao?

Huyu baba nje ya kutumia vyombo vya usalama kwa manufaa yake binafsi ni mlaini kama kiazi mbatata kolochochemshwa na magadi

Wanasiasa ambao wapo vizuri kucheza na nyakati huwezi kuwakuta wakihatarisha uchumi na usalama wa mataifa yao hata kwa sekunde!
 
Mtu yeyote anaeamini kuwa jiwe ni strategist huwa ananifanya nicheke hata kama nilikuwa na huzuni. Jiwe ni jiwe proper; hajui cha strategy wala plans. Anachokiamini (lakini hata utekelezaji wake kwa kutumia akili haujui na hauwezi) ni matumizi ya mabavu.

Mabavu nayo ni strategic
 
Kitendo cha Maalim Seif kujiunga na ACT wazalendo na kuikacha Chadema kama wengi tulivyodhani sio jambo la kukurupuka ila ni well calculated timing attack against a well organized super power CCM.

JPM ni mtu hatari sana kwenye siasa, ni mtu anayeona tatizo kwa haraka na kujiandaa kulikabili vyema..alishaona anaenda kuwekwa mtu kati ndani ya CCM na watu ambao ana tofauti nao lakini wnye nguvu ndani ya Chama (Membe group)

Kwa jicho la tatu alifanya juu chini kuhakikisha kundi lenye nguvu zaidi ndani ya chama tawala linakuwa upande wake by any means (Lowasa group) na hapo akafanikiwa kulivunja nguvu kundi la upande wa pili, Lowassa bado ana nguvu kubwa ya kisiasa na ni mtaji mkubwa sana wa JPM...bila shaka JPM atapita kama mgombea urais kupitia chama tawala (Patamu hapo.)

Changamoto nyingine ilikuwa upande wa pili yaani upinzani, juhudi zilifanyika kuiangamiza CUF na kuimaliza nguvu Chadema, wabunge wengi na madiwani wametimkia CCM..na hilo amefanikiwa kwa kias kikubwa.

Hata hivyo kuna vichwa vitatu makini ambavyo JPM anatakiwa acheze navyo vyema Hawa ni Lissu, Zitto na Seif.

Hawa watu wametazama kwa umakini mwenendo wa siasa za bongo wakaona hakuna uwezekano wa vyama vya upinzani kushinda uchaguzi 2020 kwa njia ya kura, ukiachilia mbali mambo anayoyafanya JPM, bado jamaa anakubalika sana kwa wananchi hasa maeneo muhimu kwa kura, hivyo kwa vyovyote vike kushindwa ni hakika.

Kwa mtazamo huo Lissu na Zitto wkaamua kutafuta msaada nje ya box through western countries, na hivyo wanafanya kila wawezalo kuhakikisha Nchi za Magharibi zinaimulika Tz kwa jicho la pekee, JPM anajaribu kuwatikisa hawa jamaa wa magahribi, uongozi wake unaenda kinyume na propaganda za magharibi (mf ) kuminywa uhuru wa vyombo vya habari, kuminywa kwa democrasia na kuegemea kwake kwa nchi kama china n.k ..

Hivyo Lissu pamoja na Zitto wanatumia Mwanya huo kupress ili hizi nchi zihakikishe zinashawishika kumwondolea mbali JPM 2020, na kwa vyovyote vile Lissu na Zitto ni vibaraka wa hawa jamaa.

Hata hivyo hawa wazungu hawawezi kukupa tu msaada wa ushindi kwenye uchaguzi kama hawajajiridhisha ya kuwa watafaidika zaidi kuliko wanavyofaidika sasa, pili hawawezi kwenda nje ya propaganda yao ya democrasia na hivyo lazima ujipange kupata support ya wapiga kura wa kutosha, na hapa ndipo mkakati kabambe umesukwa....

Hoja ikaja, Ili kupata mtaji mkubwa wa wapiga kura lazima vyama vikuu vya upinzani viunganishe nguvu, mambo ya kupambana separately inabidi yakae pembeni...possibly mipango kabambe imeenda kama ifuatavyo.

CUF ni kama imeyumba sana, hata hivyo ni chama chenye mtaji mkubwa wa wapiga kura hasa visiwani na maeneo ya Pwani, huku chama kikiwa na mpasuko mkubwa, bado Maalimu Seif ana ushawishi mkubwa kwa wapiga kura na hivyo support yake haitakiwi kupuuzwa.

Kwa vyovyote vile Seif alitakiwa ahame ili kuhamisha kura sehemu salama kwa upinzani...suala la kidini likaibuka, chama cha Chadema kimsingi kina msingi wa kikristo sana , wanachama na wafuasi wa CUF 90% ni muslim na wana itikadi kali hawa watu.. Hivyo tactically haitaleta matokeo mazuri kwa Seif kuhamia Chadema, badala yake best option ikaja Seif atimukie ACT ambayo msingi wake mkuu pia ni uislamu na hivyo support itakuwa kubwa visiwani na Pwani.

Hivyo Zitto na Seif kazi kubwa waliyo nayo ni kuorganize wanachama wa CUF na ACT wazalendo wawe kitu kimoja for the final battle, kazi kubwa itakayobaki kwa Mbowe ni kuorganize wanachama wa Chadema kutokana na seleka seleka la kuhama kwa wabunge na madiwani ambalo kimsingi limepunguza ushawishi wa chama.... huku kazi kubwa ya Lissu akisaidiwa na Zitto ni kumobilize western support for the final Assault, kuelekea uchaguzi mkuu vyama hivi vitaungana ili kuleta impact kubwa zaidi na hapa inatengenezwa proper timing kulingana na matokeo ya mikakati itakavyokwenda .....

My take:
Ili mpango huu ufanikiwe Other factors should remain costant eg: Msuguano wenye ushawishi kati ya western countries +USA na JPM (Mpak sasa hivi hakuna msuguanao wenye maana), Kuibuka kwa makundi yenye nguvu zaidi ndani ya CCM yanayopingana na sera za JPM (Kurudi kwa Lowasa na Rostam, hili ni kama limezimika, but let us wait and see), kusiwepo na tofauti kati ya Zitto na Chadema kila mmoja aridhike na mipango itakayopangwa. nk....

Hivyo JPM inabidi akae mkao wa kula, hata hivyo JPM yupo vizuri sana kwenye kucheza na nyakati, bado yeye ndo ana nafasi kubwa ya kubadili mchezo anytyme, tutaendelea kushuhudia mambo mengi zaidi ya kisiasa kadiri tunavyohit ucahaguzi mkuu..Leo nimemuona mzee Kikwete akienda ikulu
Uchambuz mbovu wa kusifia watu.....unazunguka na ujinga kumbe lengo umsifie jiwe.Hana siasa za ujanja unampa sifa asizostahili,anacheza siasa za mamlaka (Intimidating power).
 
Back
Top Bottom