USHAURI MUHIMU KWA WANAFUNZI WOTE WALIOMALIZA KIDATO CHA NNE 2018 KUHUSU COMB NA KOZI MBALIMBALI AMBAZO ZINAWAFAA KULINGANGA NA MATOKEO WALIOYOPATA

Francis3

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
491
1,000
Habari zenu,
Kwanza kabisa kama kichwa kijielezavyo hapo juu ,leo nimemaua kuzungumizia kuhusu wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka 2018 na wanatarajia kujiunga na vyuo mbalimbali kwa masomo mbalimbali mwaka wa masomo 2019.

Nitazungumzia mada hii muhimu kwa kugusa maeneo yafuatayo,
1.SEKTA YA AFYA
2.SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
3.SEKTA YA ELIMU
4.SEKTA YA ENGINEERING
5.SEKTA YA SHERIA NA BIASHARA

1.KOZI ZA AFYA
Afya ni moja kati ya sekta zinazoajiri kwa wingi sana vijana wengi kutokana na kutokuwepo kwa watalam wa kutosha kufiti nafasi hii adimu ya kuhudumia watu.
katika sekta hii inajumuisha kozi zifuatazo,
-nursing
-medicine
-pharmacy
-laboratory
Kutokana na ufaulu wa matokeo ya kidato cha nne ,Taasisi muhimu inayojishughulisha na udahili wa wanafunzi katika ngazi hii ya cheti na diploma wametoa sifa ambazo zitakufanya na kukuongoza katika kufanya maamuzi yako.
Ili uweze kudahiliwa(kuchaguliwa ktk chuo chochote cha afya tanzania ktk ngazi ya diploma na cheti kwa kozi tajwa hapo juu inabidi uwe umesoma masomo yafuatayo;
-physics
-chemistry
-biology
Masomo tajwa hapo juu ni lazima uyasome kama unataka kujiunga na kozi za afya.Pili inabidi uwe umefaulu kwa viwango vifuatavyo,
Kama una -physics-D,-chemistry-D,-biology-D(una sifa za kujiunga na cheti)
Kama una -physics-D,-chemistry-C,-biology-C(una sifa za kujiunga na Diploma)
Kutokana na vigezo tajwa hapo juu unaweza kuomba chuo chochote kile tanzania na nakuhakikishia 100% utachaguliwa kujiunga.
NOTE:KAMA HAUNA VIGEZO TAJWA HAPO JUU USIJISUMBUE KWANI HUTACHAGULIWA.


NATIONAL EXAMINATION RESULT 2018
KIJANA WANGU KAMA UMEMALIZA FORM FOUR NA MAMBO SI MAZURI BOFYA HAPA UANGALIE CHUO BORA KWA CERTIFICATE PAMOJA NA COURSE NZURI UTUME MAOMBI UKASOME

LIST YA VYUO VYA DIPLOMA NA CERTIFICATE VINAVYOTAMBULIWA NA NACTE NI HIVI HAPA

WALE WA MAMBO YA UTAWALA , BIASHARA, SHERIA, MAENDELEO YA JAMII, RASILIMALI WATU, UTALIII NA MAMBO MENGINE SAWA NA HAYO WAPITE HAPA


WALE VIJANA WA FORM FOUR WANAOTAKA COURSE ZA KILIMO , COMPUTER NA NYINGINEZO ZA SCIENCE KWA CERTIFICATE PITIA HAPA UPATE MWONGOZO

WALE WANAOTAKA COURSE ZA AFYA PITIA HAPA UPATE MWONGOZO NA UCHAGUE COURSE NZURI NZURI ZA AFYA

VIGEZO VYA KUCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2019 NI HIVI HAPA PITIA HAPA UPONE MAPEMA
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom