Dodoma city photo

Changes boy

JF-Expert Member
May 17, 2017
552
362
Picha Kali za dodoma. Makao makuu na jiji
 
Attachments

  • IMG_20190114_134004.jpg
    IMG_20190114_134004.jpg
    843.8 KB · Views: 237
Acheni ufala nyie. Dodoma ndio jiji linalokua kwa haraka kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga. Hata Dsm itapitwa maana serikali inalijenga jiji la Dodoma KWA MAKUSUDI. Tutafutane kwenye huu uzi baada ya miaka mitano muone picha zake.
Tena ungekua muungwana hata ungepiga picha ya jengo la LAPF hapo Makole ukaweka kisha ndio uulize viswali vyako uchwara. Shwaaaiin
Ikulu ndogo hiyo nasikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iv hlo Jengo la LAPF ni makao makuu au ni ikulu ndogo mkuu?

Yaani ccm inazidi kufilisi akili za vijana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni ufala nyie. Dodoma ndio jiji linalokua kwa haraka kuliko Mwanza, Arusha, Mbeya au Tanga. Hata Dsm itapitwa maana serikali inalijenga jiji la Dodoma KWA MAKUSUDI. Tutafutane kwenye huu uzi baada ya miaka mitano muone picha zake.
Tena ungekua muungwana hata ungepiga picha ya jengo la LAPF hapo Makole ukaweka kisha ndio uulize viswali vyako uchwara. Shwaaaiin

Sent using Jamii Forums mobile app
picha na maelezo, sizani kama Dodoma imeendelea kila njia ya kuingia Dodoma km 100 ni vichaka
 
Back
Top Bottom