mshana jr

  1. T

    JamiiForums Tanzania Mnaosujudu Israel, ni kipi hasa kinachofanya mlione ni taifa lenye watu wenye akili zaidi duniani?

    Waisraeli wamerusha satellite mpya kwa dhumuni la ujasusi hasa kuichunguza Iran na teknolojia yao ya Mabomu ya Nyuklia. Ni vipi waihofia Iran huku ninyi mnaowasujudu mnaamini kuwa wana akili sana kuliko mtu yoyote duniani. Kwanini wasiunde vifaa vya kufanya hayo mabomu ya Iran yawe maji ya...
  2. laii

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Ulimi (Power of the Tongue)

    NGUVU YA ULIMI. Mwanadamu ana nguvu kubwa sana ya kumiliki mazingira aliyonayo-Hii ni zawadi kubwa sana kutoka kwa Mungu,tatizo wengi hatujui hii nguvu ya kumiliki na kutawala tutaitumiaje(Power to possess and rule by using Your soul and tongue).Leo nitazungumzia kuhusu ulimi,Ulimi ni kiungo...
  3. Che Kalizozele

    JamiiForums Tanzania Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Naomba kufahamishwa kwa nini katika nembo za kada za afya(sina hakika kama ni zote) zina nyoka.Nyoka ni alama ya nini,anawakilisha nini na kwa nini nyoka isiwe chura au binadamu.Nakumbuka katika nembo ya pharmacy kuna nyoka na hata katika nembo ya Muhimbili kuna nyoka pia si chuo si hospitali...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Nini ufanye ili uwe na furaha siku zote unapotumia mitandao ya kijamii, hasa JamiiForums?

    Mwanadamu yeyote kitu anachotarajia kabisa maishani ni furaha na amani. Utataka upate mpenzi mzuri, mrembo kuliko wote ili akupe furaha. Mwanamke atataka mpenzi mwenye hela, mcha Mungu, mpole, etc akitarajia furaha. Utataka gari Kali sio kwamba likusafirishe tu, Bali pia likubebee jina lako...
  5. Mopao 1850

    JamiiForums Tanzania Ndoto ni noma

    Kuna siku nlikuwa nimelala, nikaota ndoto moja, yaan ilikuwa ni bonge moja la aidia ni kama MUNGU alinishushia, hii ilikuwa aidia MPYA kabisa kuwahi kutokea. cha kushangaza sasa nmeamka asubuhi nimesahau kabisa niliota nini, yani najua kuna kitu niliota lkn ndo hivyo tena nmesahau; back n time...
  6. Waterbender

    JamiiForums Tanzania In 3D there is no future no present only past

    Nafikiri kwenye 3d hakuna future Wala present ni past tu so ni lazima tufe coz tulishakufagaa. to see the future is like to remember how it was. To see the future and you living straight to no where is impossible (tafakari)otherwize you knew it. Buddah said we are all here because we know...
  7. Removers

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa wenye Majina ya asili

    Habarini za asubuhi wakuu. Ni desturi iliyopo kwa baadhi ya makabila na hata wazazi kuwapa wanao majina ya asili ,naweza kuita majina ya kiukoo.. Wale wote wenye majina ya asili naomba mtupe pamoja na Maana ya Hilo jina uliloitwa au ulilompa mtoto wako..japo baadhi huwa yanaleta ukakasii...
  8. Lagrange

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya anayekulisha

    Habari wakuu !!,, Leo nataka nitoe muongozo kidogo juu ya mamlaka ya anaye kulisha,,.Anaye kulisha kila siku ana mamlaka juu yako ya kukutuma ,kukuagiza ,kukupangia kazi ,kukupa maelekezo bila kujali wewe ni nani na yeye ni nani.. Poleni na changamoto za korona.
  9. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Ametoka kufanya mapenzi na Mwanaume mwingine? Angalia unavyoweza kumtambua

    Ndugu msomaji, pole kwa shughuli na pilika pilika za kila siku katika harakati za kulizungusha gurudumu la maisha. Awali ya yote napenda kuwaletea mada ambayoitakuwezesha kumtambu mwanamke aliyetoka ama anayetoka kimapenzi na mwanaume mwingine Itambulike kuwa lengo la uzi huu sio kuumbua bali...
  10. Waterbender

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha mwanzo na sayansi kuhusu umbo la dunia

    Mwanzo 11 mstari wa 4 Usitake kuniambieni wajenzi wa Babel tower ni wajinga kiasi icho kwamba tujenge mnara ufike mbinguni ambapo ni juu sasa kama dunia ni duara sasa juu wapi 'lakin ukiniambia walitaka waifikie ile dome (filament) wavunje waingine mbinguni kitu kina tiki na kina sound sana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nini nguvu ya mzazi au wazazi kwenye watu tunaotarajia kuoa au kuolewa nao

    Mimi ni kijana wa kiume ambaye nipo kwenye mahusiano na binti wa kabila X. Binti anaupendo kwa kweli na anajua kupenda haswa ila changamoto iliyopo wazazi wangu kila nikikaa nao wananionya sana kuhusu hilo kabila na inatokea mara nyingine mzazi wangu ananipigia kelele nyingi akinisihi niachane...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Digba Sowey Vs Mshana Jr

    Kwa muda mrefu sasa hapa Jf kumekuwa na mpambano.mkali Sana wa hoja Kati ya digba sowey na Mshana Jr kuhusu masuala ya ulozi na Uchawi huku kila mmoja akijinasibu kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu taaluma ya ulozi kuliko mwenzake. Tusiandikie mate wakati wino upo, Jesus is Here, John the...
  13. Ganda la ushuru

    JamiiForums Tanzania Loa Loa Filariasis ni ugonjwa gani

    Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee. Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa filariasis ambaye alipigwa picha ya jicho lake ,inatisha kweli kwani ndani ya jicho kwenye ile sehemu nyeupe...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Uganga wa Mshana Jr. unapofeli; Yanga 1 Simba 0

    Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana. Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia. Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
  15. F

    JamiiForums Tanzania Bonifance Mwamposa, (Buldoza) atunukiwa Shahada ya Uzamili ya heshima na Chuo cha Lead impact University kilichopo Colorada nchini Marekani

    Ni ajabu na kweli baada ya yote yaliyotokea Moshi mwezi uliopita Mwamposa atunukiwa udaktari wa heshima. Mshana Jr alitabiri kupanda cheo kwa Mwamposa na sasa yamekuwa kweli. Watu wanapaswa kufunguka macho kuhusiana na yanayoendelea ulimwenguni tena siku hizi yapo wazi kabisa. Kuweni waangalifu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  17. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

    Miaka kadhaa iliyo pita nilikuwa na tabia ya kwenda bichi, haswa ile beach ya msasani kupitia pale chole au kwenye kituo maarufu kinachojulikana kwa jina la Macho {kutokana na hospitali maarufu ya macho ya CCBRT}. katika maisha yangu hakuna kitu nincho kipenda sana kama kuogelea japo nimewahi...
  18. hiram

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa mchawi ungechagua kipi?

    Hivi ungekuwa wewe ndiye MCHAWI uchague moja kati ya hivi: MOJA Ubuni teknolojia ya kufanya shamba lijilime, lijipalilie na lijivune PILI Ubuni teknolojia ya kufungua mlango wa mtu (ikiwemo wa geti) uingie chumbani umnyanyue bila huyo mtu kuamka ukamlimishe fasta fasta kisha umrudishe bila...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tujadili njia za kumsaidia mtoto kuongeza IQ yake katika ukuaji

    Habari za asubuhi wanajamvi, Nimeleta uzi hapa naamini nitapata msaada wa kimawazo. Kwa kawaida katika makuzi ya watoto malezi yanatofautiana na hivyo kuleta tabia tofautitofauti baina ya familia moja na nyingine au jamii moja na nyingine. Hoja yangu ni kuhusu kuongeza IQ, Creativity and...
  20. sychellis

    JamiiForums Tanzania Mchumba kakataa kuongea na mimi kwenye simu aliyopelekewa na mama yangu

    Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nasoma Chuo Degree Mwaka wa Pili, kuna binti mmoja mama yangu alinambia ni mzuri ana tabia nzuri, sema mimi nikawa napotezea sikuwa na haja hiyo. Siku moja nilienda kumsalimia mama nikamuona huyo binti, jamani ni mzuri balaa. Yeye baba ni Mzanzibar na mama...
Back
Top Bottom