Najua huenda ikawa ndio mara yako ya kwanza kujua/kusikia neno hili

Amafita

Member
Joined
Jul 22, 2019
Messages
63
Points
125

Amafita

Member
Joined Jul 22, 2019
63 125
Kwema wana JamiiForums?!!!

Nadhani karibia kila mmoja atakayesoma uzi huu tangu umezaliwa umekuta watu wakitumia neno CHIPS na umekuwa ukilitumia kwa kipindi chote cha maisha yako. Labda kama ulikuwa hufahamu basi tambua kuwa neno mbadala la Kiswahili ni VIBANZI.

Hivyo basi kuanzia leo ukienda kwenye kibanda cha Chips sema naomba Vibanzi vya buku-jero au naomba Kibanzi mayai.
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,364,458
Members 520,742
Posts 33,317,106
Top