Kupitia post na mazungumzo na Mr IQ intelligence mshana Jr The platinum nimejifunza haya hapa.
01.Waganga wanafanya KAZI kwa kumuomba Mungu, na wewe usimuombe Mungu kupitia mganga(Muombe Mungu moja kwa moja utafamikiwa)
02.Sema sana ongea sana ila Usiombe yakukute.
03.kwenye maisha Kuna...
Wakuu, ni dhahiri sasa CCM imetumia tena mkakati wa divide and Rule kuelekea uchaguzu mkuu 2025.
Ninachokiona kitakachotokea, CCM watawaachia CHAUMMA majimbo mawili au matatu kwenye mikoa yenye majimbo yasiyo pontential kwao, then watapata nafasi ya viti maalumu visivyopungua 20 na kukifanya...
Habari wanaJF, naomba kuuliza kama natokea Dar kwa Gari ndogo kuelekea Mwanza ipi njia fupi kati ya kupita Dodoma au Arusha, japo njia ya Dodoma niliishapita mara kadhaa ila Arusha bado
Nategemea michango yenu wakuu
Huyu mwamba ni legend kabisa wa masuala ya ushauri, biashara fedha na uchawi.
Kwa upande wangu ndio role model wangu hapa JF
Ila kwasasa ndugu yetu amebadilika sana.
Haanzishi tena nyuzi za ukombozi wa vijana, uchawi na mambo ya nyota sikuhizi anahangaika na na nyuzi za ubunifu wa vifuu vya...
Tiktok inatuwezesha tufahamiane. Inafununua uwezo wa binadamu bila mipaka, anadhihirisha na kubainisha uwezo halisi na kuchuja propaganda.
Injinia huyu ni kielelezo cha uwezo wa vijana wa kiafrika. Huyu anadhihirisha waafrika wakiamua wataunda kila kitu.
Habari wakuu
Kwako mama Samia Suluhu na waziri wa ardhi wa JMT
Dar es salaam imekuwa ni kijiji ambacho kimezungukwa na Bar kila kona, Kelele na kumbi za sherehe huku beach zetu nazo ni chafu sana
Sisi tusiopenda vitu vya namna hiyo, tunakosa mahali pa kwenda kupumzika na kupeleka watoto. Si...
Majaliwa ametaja njia moja wapo ya kukabiliana na ukosefu wa ajira ni kwenda Veta, yawezekana ila shida kubwa iko kwenye sisi wananchi wenyewe.
Visa vingi sana vimeletwa humu ndani kuhusu namna waajiriwa walivyo rudishwa nyuma kwa wizi. MImi binafsi nina mifano mingi sana.
Lakini pia...
Huyu jamaa kwa kweli ni Guru, Ila siku za karibuni amepoteza kabisa mvuto na content pia.
Nyuzi anazotuma zinakosa kabisa wachangiaji, kiasi kwamba kuanzia post ya kwanza hadi ya ishirini ni yeye mwenyewe amekuwa akizituma.
Tangu ameacha uchawi, mambo yake mtandaoni yamemwendea mrama.
Mzee...
Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Habari za wakati huu,
Nina shida na Mshana Jr. Ewe ndugu Mshana Jr nimekutafuta PM lakini meseji haziendi. Uonapo uzi huu please naomba unitext.
Shukran.
UNAUFIKIAJE UTAKATIFU?.
Katika mambo ambayo, watu wamefungwa na kuona ni ngumu ni hali ya kufikia utakatifu.
Kanisa katoliki wamebaki kutangaza watu fulani, kuwa ni wenye heri na watakatifu. Tusijue wanatumia vigezo vipi. Ili hali mwenye kujua hilo ni Muumba.
Hakuna njia nyingine zaidi ya...
Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini?
Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
Rejerea mada juu.
am 30yrs nna mke na mtoto wa kiume(1.7yrs). Nilikua mbali na mke kwa miezi minne, narudi ananipa hyo taarifa dah. Nmewaza sana aisee
Maswali najiuliza ni haya
1. Ameweka nkiwa sipo ili azuie mimba ya nani.
2. Kwa nini asinishirikishe hata kama niko mbali.
Kusema kweli mke...
Habari Wana JF, Naomba Ushauri
Niende moja kwa moja kwenye hitaji langu.
Mwezi wa saba nilipatwa na uvimbe ghafla upande wa kulia wa shavu chini ya sikio. Uvimbe ulikuwa mdogo na haukuwa na maumivu yoyote hadi nilipougusa na kuuminya minya, hivyo nikaamua kuupuuza.
Hata hivyo, baada ya...
Kama kila siku unafanya Kitu Fulani na nafsi inakuwa very smart kukifanya Kitu hiko
Basi siku ukiona nafsi IPO tofauti na matakwa yako jifunze kutiii
Mungu hawezi kushuka akakwambia Leo sehemu Fulani hapana hawezi kushuka Ila anatumia mwili wako huo huo kukupa signal kuwa something Is wrong...
Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa.
Nilituma post humu JF juu ya Hali ninayopita Lakini cha ajabu ndugu yangu mshana jr alichukulia uzito...
Robert Heriel Mtibeli na Mshana Jr
Mnafanya Kazi nzuri na Kazi yenu itakumbukwa vizazi na vizazi.
Maandiko yenu mmeandika hapa JF niseme yanasaidia watu wengi kujitambua na kuondokana na ujinga.
Nyie ni hazina na mtaendelea kuishi katika akili za WATU.
Mna uwezo mkubwa Sana wa AKILI na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.