Kipimo cha akili cha mwafrika ni nini?

Tangantika

JF-Expert Member
Aug 12, 2018
4,941
6,191
Akili hupimwa Kwa matendo, na matendo huleta natokeo hasi au chanya. Maamuzi ambayo ni matokeo ya kufikifikiri hupelekea mtu kufanya matendo Fulani.

Swali nalojiuliza hivi sisi watu weusi je tunafanya maamuzi shihi Kwa wkati sahihi, je tunaweza kupima natokeo bora Kwa mambo yapi ya mfano katika mazingira yetu halisi .

mtu mweusi hivi huwa anajipa muda wa kuitafakari dunia na mwenendo wake katika nyanja zote? kama ndio mbona hatuna jambo la kupigiwa mfano!

Hivi jamii kama ya wachina wakisema waafrika akili zenu ni ndogo je kigezo gani tunatumia kuwakatalia kuwa sio kweli ?

Tunaelekea katika uchaguzi,Je watu watachagua viongozi Kwa kutumia uwezo wa kufikiri juu ya matendo na matokeo ya uwezo wa waliokuwepo katika mfumo na wasiokuwepo katika mfumo?

Je, nini kitawasukuma watu kuchagua viongozi? Ni mihemko au intelligence/ uwezo wa kufikiri ?

Je, uchaguzi barani afrika ni kipimo kimojawapo cha uwezo wa akili wa mtu mweusi?

Kama ndio uzani wake ni chanya au hasi?
 
Sinimeishasema hapo hupimwa kwa matendo.Kifupi in uwezo kupambanua,ufahamu, 'reasoning ability' ,uwezo was kufikiri,uwezo wa kujifunza, uwezo wa kupima au kuchekecha 'pumba na mchele' kujua mbaya na nzuri.Wazungu hupima akili 'cognive: domain' ktk nyanja zao tano.
 
Back
Top Bottom