Tetesi: Ofisi Kuu ya Askofu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki kufunguliwa leo tarehe 13/11/2020

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
320
342
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena

Ufunguzi huo utafanywa na Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo hii ni baada ya maridhiano kati ya Waumini na Uongozi wa Askofu Munga ambao wamekubaliana kwamba muda wa Askofu Munga kuongoza umekwisha kikatiba na mpaka sasa siyo Askofu halali.

Hali hiyo ilipelekea hatua mbalimbali kuchukuliwa na waaumini ikiwemo kufunga ofisi ya Askofu.
 
Attachments

  • VID-20201110-WA0002.mp4
    43.5 MB
Wizard inaongoza maridhiano??
Ingekuwa waamuni wa kiislam wanafukuza shekhe wa Bakwata??Wizara ingepeleka mabomu ya machozi na polisi???
 
Kwa habari nilizozipata, leo hii 13/11/2020 zinaeleza kwamba Ofisi Kuu za Kanisa la KKKT (DKMS-KKKT) zilizopo Tanga katika wilaya ya Lushoto zinatarajiwa kufunguliwa tena

Ufunguzi huo utafanywa na Askofu Mkuu wa KKKT Dr. Shoo hii ni baada ya maridhiano kati ya Waumini na Uongozi wa Askofu Munga ambao wamekubaliana kwamba muda wa Askofu Munga kuongoza umekwisha kikatiba na mpaka sasa siyo Askofu halali.

Hali hiyo ilipelekea hatua mbalimbali kuchukuliwa na waaumini ikiwemo kufunga ofisi ya Askofu.

Makanisa ya siku hizi siyo kwaajili ya imani tena ni uroho wa madaraka na tamaa ya pesa, inatupasa kuanzisha makanisa yenye nia ya kumtumikia Mungu bila malipo kama alivyofanya Yesu
 
Wasabato komaeni kumtukuza Mungu wa Mbinguni.
Pigo za hivi wasabato hawana kabisa.
Viongozi wa wasabato hawawezi kujiingiza kwenye ujinga kama huu wa kisiasa na kumtukuza magufuli kuliko Mungu wetu alie juu mbinguni.
 
Back
Top Bottom