Ndoto ni noma

Mopao 1850

Member
Mar 11, 2020
42
21
Kuna siku nlikuwa nimelala, nikaota ndoto moja, yaan ilikuwa ni bonge moja la aidia ni kama MUNGU alinishushia, hii ilikuwa aidia MPYA kabisa kuwahi kutokea. cha kushangaza sasa nmeamka asubuhi nimesahau kabisa niliota nini, yani najua kuna kitu niliota lkn ndo hivyo tena nmesahau; back n time wakati na kuwa, nilikuwa mtundu wa mabo ya kielectronic so aidia nyingi nilikuwa napata wakat nimelala Mshana Jr najua unachakutufundisha hapa, dili nyingi muhimu kwa mwanadamu znakuja wakati amelala, sasa kipindi hiyo nilkuwa napata adia ya project flan kwa mfano kutengeneza boti, so nakitengeneza ktk ndoto nikiamka najua cha kufanya, ulishawahi kuwa ktk wakat kama huu?
ndoto ni maisha jamani.
 
I see. Sibishi, sometimes ndoto ni taarifa unazoletewa. Take ot or leave lkn juwa kuna zingine zinakua kweli
 
Kuna siku nlikuwa nimelala, nikaota ndoto moja, yaan ilikuwa ni bonge moja la aidia ni kama MUNGU alinishushia, hii ilikuwa aidia MPYA kabisa kuwahi kutokea. cha kushangaza sasa nmeamka asubuhi nimesahau kabisa niliota nini, yani najua kuna kitu niliota lkn ndo hivyo tena nmesahau; back n time wakati na kuwa, nilikuwa mtundu wa mabo ya kielectronic so aidia nyingi nilikuwa napata wakat nimelala Mshana Jr najua unachakutufundisha hapa, dili nyingi muhimu kwa mwanadamu znakuja wakati amelala, sasa kipindi hiyo nilkuwa napata adia ya project flan kwa mfano kutengeneza boti, so nakitengeneza ktk ndoto nikiamka najua cha kufanya, ulishawahi kuwa ktk wakat kama huu?
ndoto ni maisha jamani.
Naomba nikuwekee link moja kwanza kisha tutaendelea

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom