mshahara

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwalimu atelekeza kazi baada ya malipo ya mshahara wa Tsh 34,000 kwa mwezi

    Nimesikitishwa kupata habari kuhusu mwalimu anayefundisha shule ya sekondari Dunda iliyopo Bagamoyo mkoa wa Pwani kukimbia kazi ya ualimu baada ya kulipwa 34000 kwa mwezi. Hii inatokana na adhabu ya kushushwa cheo na kulipwa nusu mshahara na Tume ya Utumishi wa Walimu kwa kosa la utoro kazini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!! Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

    Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
  4. The Bleiz

    JamiiForums Tanzania Job Ngugai, Spika aliyejiuzulu atalipwa 80% ya Mshahara wa Spika maisha yake yote

    1. Kulipwa 80% ya mshahara anayolipwa Spika aliyekalia kiti maisha yake yote. 2. Gari la VX V8 ni lake binafsi. 3. Dereva atakayelipwa na Serikali maisha yake yote. 4. Mafuta ya gari lake lita sabini kila week. 5. Kiinua mgongo 50% ya fedha alizowahi kulipwa mshahara tangia aapishwe kuwa...
  5. Johnyy

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Internship private sectors upoje?

    wana jf,samahan mshahara kwa intern private sector upoje na je mda ukiisha unaweza update?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naiomba serikali sikivu ya Rais Samia iongeze wiki moja kwenye ufungzuzi wa shule January 2022 mshahara utakuwa umetoka

    Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi. Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia...
  7. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Nesi aliyesajiliwa Mshahara ni Zaidi ya 4,000,000/= kwa Mwezi.

    Ubalozi wa Marekani, Tanzania wanahitaji Nesi. Aliyessajiliwa, Mwenye uzoefu walau Miaka 2. Kazi nzuri. Kutuma Maombi fungua link hapa chini... https://erajobs.state.gov/dos-era/vacancy/viewVacancyDetail.hms?_ref=n0dhqwvrpt0&returnToSearch=true&jnum=30260&orgId=22
  8. Lexus SUV

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mfanyakazi wa serikali analipwa mshahara zaidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano

    Msaada please kwa anaejua. Acha na posho Bali mshahara tuuu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

    Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu. Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao...
  10. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mwalimu na Muhadhiri nani anastahili mshahara mkubwa?

    Jamani Mimi bado mawazo na fikra zangu zimebakia kwenye suala la mishahara, Kwa mfano nikianza na waalimu hivi Nani anastahiliii KULIPWA MSHAHARA MKUBWA Kati ya mwalimu wa SHULE ya msingi na lecturer wa chuo?
  11. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Property Manager ngazi ya Diploma

    Wakuu Habari za muda huu! Nimeitwa kwenye interview itakayofanyika Arusha siku ya ijumaa kwa kampuni binafsi. Sasa siku hizi Kuna Swali common la candidate's salary expectations ambalo ndilo hutumiwa kuwachuja watahiniwa. Naomba kufahamishwa range ya mshahara wa hii kazi kwa ngazi ya diploma...
  12. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Je, Naweza kuishi Dar kwa mshahara wa laki tatu?

    Tafadhali Husika na kichwa Cha Uzi Huu. Mimi ni Job seeker, nimepata kibarua Cha laki tatu Dar es Salaam. Sijawahi kufika Dar ila nasikia maisha ya huko ni Magumu kwa sababu ya bei ya vyakula, Pango na Usafiri. Naomba kuuliza, kwa kiasi hicho tajwa, nitamudu maisha ya Dar?! Ahsante.
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake

    Mdogo wangu wa kiume anakunja milioni 3 per month ila mshahara wake wote anaumalizia kwa wanawake. Huu ni mwaka wa kumi hajajenga wala kununua kiwanja. Anaishi nyumba ya kupanga. Havai vizuri, anavaa mishati na mitisheti mikubwa. Wakati mwingine anavaa suruali zilizopauka mpaka unaweza...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Kocha mpya Simba SC Pablo Franco unalipa Mshahara wa Nabi, Kazi, Zahera, Manara na Bumbuli huku Chenji ikibaki pia

    Awali alitaka Mshahara wa Tsh Milioni 350 kwa Mwezi ila baada ya Majadiliano na Klabu aliyoipenda ya Simba baada ya Kusimuliwa na Timu ya Sevilla ya Hispania iliyokuja Tanzania kucheza na Simba SC sasa amekubali kupokea Mshahara wa Tsh Milioni 250 kwa Mwezi na mpaka sasa ameshalipwa tayari...
  15. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Kwa hapa Tanzania mwenye PhD ya ukweli aliyesomea akasota anatakiwa alipwe kiasi gani kama mshahara?

    Mimi napata tabu sana na wenye hizi shahada, Ninamaana ya kwamba Mtu ana PhD lakini anapambania kitu kidogo sana, hadi najiuliza huyu PhD yake kweli ni ya Ukweli na aliipambania kwenye tafiti na mengineyo ili aipate au ni feki, ni vile tu hawaja mkamata. Mara nyingi nimewaona wenye PhD...
  16. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nikiwaambia msioe muwe mnasikia; kwa miezi 4 mwamba kaishi maisha magumu bila mshahara kumbe mkewe ana laki 8 ndani, na usaliti juu kaambulia

    Eeeh bwana ehh ni Mimi Mr. Liverpool Tena. Weekend hii tumempiga Manure na nyundo Kali sanaa mpaka kapoteana.!! Sasa jiulize ile ilikua Old Traford, je wakija Anfield..!!! Turudi kwenye mada .... HIVI KWANINI HAMSIKII NIKIWAAMBIA MSIOE ??😳😳😳 Sasa Kuna mwenzenu yamemkuta huku ...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kinachomuondoa Didier Gomez Da Rosa ni Mshahara mkubwa, siyo kipigo

    Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe. Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba kutoka mfukoni mwake kama wengi wanavyodhani , alilipa kutokana na fungu ambalo Simba walikuwa wanapata...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania DR Congo: Wanafunzi walivamia Bunge wakitaka Walimu wao waongezewe mshahara

    Mamia ya wanafunzi wamelivamia bunge nchini DRC wakitaka walimu wao waongezewe mshahara. Wanafunzi hao walikuwa wanapeperusha matawi na kuimba "tunataka kusoma" na "ikiwa hatutasoma, tutatumia dawa za kulevya". Maandamano ya aina hiyohiyo yalitokea katika mji wa Beni kaskazini mwa Kivu ,kwa...
  19. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya ulinzi: mshahara laki 1. Pesa ya kula elfu 30. Mbezi Dar

    Wahi chap nikuunganishe upate hii kazi. night shift kwenye lodge Taarifa muhimu nimeweka juu ukiona mshahara sio size yako acha povu. Mlinzi mlinzi mlinzi
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mhitimu wa Diploma ya sheria kulipwa mshahara wa Tgs B na mahakama, hii imekaaje?

    Mara nyingi idara za serikali hulipa mishahara kwa ngazi husika kulingana na elimu ya muajiriwa. Mfano Tgs A huwa ni form four. Tgs B huwa ni wahitimu wa vyeti walioajiriwa. Sasa jambo la ajabu mahakama inawalipa Tgs B watumishi inaowaajiri kwa ngazi ya diploma. Hii ni ubaguzi mkubwa sana. Na...
Back
Top Bottom