Wakati 'wakijimwambafai' Kumsajili Djuma kwa Bilioni 1, Nahodha wa Yanga SC Beki Lamine Moro achoshwa na Deni na Kutolipwa Mshahara

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
42,363
2,000
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka.

Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia hadi 'perfomance' yao Uwanjani ila sikueleweka.

Huku Yanga SC kupitia Injinia Hersi Said wa GSM mpaka Mashabiki wa Yanga SC wakitamba ( wakijimwambafai ) kuwa Wamemsajili Beki wa AS Vita Djuma kwa Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania Nahodha wao na Beki Mahiri ( Tegemezi ) Lamine Moro ameandika Barua ya Kuomba 'Kusitisha' Mkataba wake na Yanga SC kwa Kuchoshwa na Deni la Pesa zake za Usajili anazowadai na Kutompa Mshahara wa takribani Miezi Miwili.

Tukiwa tunawasemeni msiwe mnabisha.
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,498
2,000
Mleta mada ndio mkuu wa ma mbumbumbu. Sasa mchezaji Kama ameomba avunje mkataba, gharama za kauvunja uo mkataba si ziko juu yake. Lamine Alisha likoroga kwa kugombana na Kocha itabidi avumilie kukaa bench mbaka hasira za kocha zitakapo kwisha kwa Sasa Yanga kwenye nafasi ya Lamine wapo wachezaji wengi na ndio maana Yanga awana hofu juu yake.
 
King_Ngwaba

JF-Expert Member
Jan 11, 2015
1,121

Wewe Nyani nani aliyekudanganya kuhusu gharama za kuvunja Mkataba? Mkataba una vipengele ambavyo vikikiukwa au kutokutimizwa munaweza kukaa pamoja na kufikia makubaliano ya kuuvunja, akivunja mmoja pekeyake ndiyo anarudisha gharama.

Enewey! Kumuweka benchi Lamine Moro hakutafuta madeni yake anayowadai, Mlipeni.
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,161

Mchezaji wa Yanga akisimamishwa kwa utovu wa nidhamu anadai,wa mikia akisimamishwa akapimwe akili!lamine adai hata sumni kinachomuondoa lamine Yanga mahusiano yake na kocha sio mazuri na ndio maana kaomba kuvunja mkataba,ingekua anadai angetumia kipengele iko kuvunja mkataba
 
Sasa Mchezaji anayewanyoshea Dole la Kati unadhani hapaswi kupimwa akili? Mwisho wa siku ndiyo hao wanaoishia kuwa kama Nyoso.
 
kidunula1

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
5,688
2,000
Wewe Nyani nani aliyekudanganya kuhusu gharama za kuvunja Mkataba? Mkataba una vipengele ambavyo vikikiukwa au kutokutimizwa munaweza kukaa pamoja na kufikia makubaliano ya kuuvunja, akivunja mmoja pekeyake ndiyo anarudisha gharama.

Enewey! Kumuweka benchi Lamine Moro hakutafuta madeni yake anayowadai, Mlipeni.
Jamaa tangu Liverpool ipepesuke umekuwa na hasira sana Aisee!
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,673
2,000
Simba wapo sahihi. Yaani kwa jinsi walivyo na wachezaji. Anayekosa nidhamu anakuwa hana akili timamu. Kwa metacha tunaelewa kuwa ana stress mambo kwetu si shwari. Pesa ya kwenda kumpima akili ni bora alipwe tu salary yake.
 
Mgagaa na Upwa

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
7,161
2,000
Hamna kitu mtamfanya maana lile dole mlistahili ndio maana mnaona ana akili timamu.
.

Screenshot_20210620-143056_Gallery.jpg
 
1954

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
9,317
2,000
Nimekuwa nikiandika hapa JamiiForums na kusema wazi wazi kuwa huko Yanga SC kuna 'Fukuto' Kubwa mno ila limefichwa na Siku 'likitumbuka' huenda Moto utawaka.

Nilishasema kuwa Yanga SC hasa kwa Wachezaji kuna 'Mpasuko' mkubwa na ambao pia ndiyo unachochea Utovu wao wa Nidhamu ambao umeathiri pia hadi 'perfomance' yao Uwanjani ila sikueleweka.

Huku Yanga SC kupitia Injinia Hersi Said wa GSM mpaka Mashabiki wa Yanga SC wakitamba ( wakijimwambafai ) kuwa Wamemsajili Beki wa AS Vita Djuma kwa Shilingi Bilioni Moja za Kitanzania Nahodha wao na Beki Mahiri ( Tegemezi ) Lamine Moro ameandika Barua ya Kuomba 'Kusitisha' Mkataba wake na Yanga SC kwa Kuchoshwa na Deni la Pesa zake za Usajili anazowadai na Kutompa Mshahara wa takribani Miezi Miwili.

Tukiwa tunawasemeni msiwe mnabisha.
Mbona waandishi wa habari wengi wa TZ hawajalipwa Hadi miezi sita??
 
Rodger Mhina

Senior Member
Oct 1, 2017
110
250
Wewe Nyani nani aliyekudanganya kuhusu gharama za kuvunja Mkataba? Mkataba una vipengele ambavyo vikikiukwa au kutokutimizwa munaweza kukaa pamoja na kufikia makubaliano ya kuuvunja, akivunja mmoja pekeyake ndiyo anarudisha gharama.

Enewey! Kumuweka benchi Lamine Moro hakutafuta madeni yake anayowadai, Mlipeni.
Tujitahidi kuchangia bila kutukana mwenzio, ruhusu mawazo tofauti na ya kwako kwenye maisha yako. Ni kosakubwa kujiaminisha kuwa mawazo yako wewe ni msahafu ambao haupingwi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom