Kwanini mshahara mkubwa hauhusiani na kipato?

Dec 14, 2020
11
15
Habari wanazengo,

Leo hii nimekuja kumaliza misconceptions na mijadala ya uoga waliokua nayo vijana mitaani, nimekua nikiona nyuzi nyingi humu zikiwapotosha vijana kuhusu uhitaji na vigezo vya kufanikiwa, lakini nimeona nisikae tena kimya wakati naona vijana wenzangu wanapotea, hivyo nimeamua kuwaletea nyuzi hii fupi kuwaelimisha kidogo kuhusu mada husika apo juu.

Nitawapa stori fupi:
Nakumbuka wakati naanza kufanya research kuhusu uhalisia wa maisha ya Tanzania na biashara mwaka 2017, kati ya funzo langu la kwanza kujifunza ni kua "mtaji mkubwa hauusiani na kipato utakachopata kwenye biashara "NA"mshahara mkubwa hauusiani na kufanikiwa", nakumbuka wakati naanza hii research nilikua tanga mjini pale, nilikua na marafiki zangu wawili, mmoja LAMECK(24) ana degree na alikua anafanya kazi bandari na mwengine JUMA(23) alikua muuza kahawa msambaa ambae nilizoeana nae sana sababu nilikua mteja wake mkubwa.

LAMECK mshahara wake pale bandari ulikua ni 900k per month na JUMA mjasiriamali aliniambia hakosi 300k per month sababu alikua anatembeza kahawa, kashata na sigara pia.

LAMECK(bandari) alikuwa amepanga nyumba nzima maeneo ya Nguvumali kodi 200k, ndugu yangu yule anakula hotelini kila siku 10k so per month 300k, na japokua daladala zipo lkn nakumbuka alikodi boda kumpeleka kazini na kumrudisha kwa mwezi 80k, maji na umeme alinigusia pia kwa mwezi alikua analipa 80k jumla na ukijumlisha na matumizi yake madogomadogo aliniambia kila mwisho wa mwezi anajikuta amebaki na 100k, na tukija kwa juma yeye hakuwahi nifungukia matumizi yake lakini aliniambia wazi kua kila mwezi yeye huweka 150k kwenye kibubu, hapo ndipo nilipojua tatizo kwa vijana Tanzania liko wapi, ni simple VOCAB tu na math kidogo ndio tatizo.

Ndugu zangu, mshahara sio kipato na kipato sio msharaha, kibiashara kipato ni kile kiasi kinachobaki baada ya matumizi yako yote ya wiki, mwezi, mwaka husika yaani simply (KIPATO=MSHAHARA-MATUMIZI) HAPA NDIO TATIZO LILIPO, leo hii mfanyakazi wa bandari SUITS AND TIE anatembea kifua mbele bila kujua amepitwa kipato na muuza kahawa barabarani, hii ni aibu!
 
Utafiti ndio umeishia hapo au hzo ni hisia zako tu?
 
So muuza kahawa anamzidi afisa kipato.
Je wote wakiugua? Nani anatumia kipato?
Wote wakienda bank kukopa?..

Tafsiri ya kipato haiwezi kuwa rahisi hivyo
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom