msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hawa wanaopanda katika Daladala na Kutuomba Msaada wanatufanya Sisi Abiria hatuna Akili au?

    Kuna Mmoja kapanda Dala Dala nililopanda Jana Usiku la Buguruni - Mwenge aliniachi Maswali mengi sana. Kwanza ana Afya nzuri ambayo hata GENTAMYCINE ninayeombwa Msaada sina. Pili kuna muda akasema kuwa tayari ana Shilingi Milioni Saba na anataka tumchangie Shilingi Mia Tano, Elfu Moja zetu na...
  2. N

    Naomba Msaada kwa mtu yeyote anayefanya kazi ofisi za halmashauri ya Wilaya ya Serengeti kuna jambo nataka kuuliza!

    Ndugu zangu wana Jamiiforums, mimi ndugu yenu naomba kama kuna mtu yoyote humu anayefanya kaz ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti nahitaji nimfate DM tuzungmze nina shida ya muhimu sana Ahsanteni
  3. Kupata msaada juu ya matatizo ya kiakili....

    Habari zenu watanzania. Hivi karibuni nimeweza kugundua, baada ya kuchunguza kwa makini, kwamba kuna uwezekano mkubwa nina tatizo la kiakili(mental disorder). Kuna vitu nimekua nikivifanya, na kuna jinsi nimekua nikiishi na watu walionizunguka kwa miaka kadhaa sasa..... Hii imenipelekea kufanya...
  4. Wakuu Msaada: Biashara haiendi ghafla, nifanyeje?

    Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K. Kijana ananiambia alikuja Jiran (Jirani naye ana frame pembeni ya Huduma yake) akamuomba elfu Kumi...
  5. Msaada: Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa vita, ujasusi na maswala yanayohusu intelijensia.

    Habari wana jamii forum! Kama title inayojieleza hapo juu, Mwenye vitabu vitakavyosaidia kutanua uelewa wa masuala ya mbinu za vita, ujasusi pamoja na masuala ya intelijensia atupie humu tafadhali. Ninataka kufanya research & analysing ya hayo maswala sasa kabla sijaanza nahitaji kutanua uelewa...
  6. K

    Dharura: Nimeng'atwa na buibui mweusi usiku huu msaada

    Wakuu ninakosa amani usiku huu nimeng'atwa na buibui mweusi eneo la shingoni nasikia maumivu kama yanavuta, nisaidieni wakuu picha ya buibui nimeipiga nifanyaje huduma ya kwanza.
  7. Naomba msaada wa ufadhili wa masomo (ADA YA CHUO)kwa mwenye uwezo binafsi au taasisi.

    Habari zenu wanandugu. Naitwa Sadiki Salumu, mkazi wa Dar se salaam wilaya ya ilala. Nipo chuo mwaka wa pili kozi ya BACHEROL IN MECHANICAL ENGINEERING Samahani naombeni kupata msaada kwa anaefahamu sehemu yoyote au mtu yoyote anaehusika na ufadhili wa masomo ikiwemo Ada maana ninahitaji...
  8. Wataalum wa vifaa vya cm msaada wenu hapa

    Hii cm ni OPPO r9 plus huyu jamaa amezunguka kwa mafundi wote ila wapi wananshindwa kutatua tatizo cm inagoma kupeleka charge uki connect kwenye charge inaleta haya maneno. vip hii cm atupe tu au kunanamna ya kufanya hapa
  9. Tembo wanaharibu mazao ya wananchi wa Kijiji Kilosa Mpepo na hakuna msaada

    Sisi wakazi wa Kijiji Kilosa Mpepo, Tarafa ya Ngilangwa, Wilaya Malinyi Mkoa Morogoro tunachangamoto tunaomba msaada wa Serikali. Serikali itusaidie kuhusu Tembo wanatumalizia mazao, kwa usiku mmoja wanaweza kula hekari zaidi ya 15, tumehangaika hadi ofisi za Wilayani, TANAPA wamekuja kama...
  10. K

    Je, ni wakati wa vijana kufikiria kutafuta kazi nje ya nchi?

    Kwenye nchi zilizoendelea kwasasa kuna uhaba mkubwa wa vijana wa kufanya kazi lakini wakati huohuo kuna janga kubwa la vijana wasikuwa na kazi Tanzania. Pamoja ni jitihada nyingi za serikali za kusaidia vijana kupata kazi na kufanya shughuli za kilimo ni lazima vijana nao wajiongeze walau kuweka...
  11. U

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa huu wa kuku

    Wana JF, Kwanza niseme asanteni sana maana ushauri ambao mmekuwa mnanipa nimekuwa nikiufanyia kazi unanipa matokeo mazuri. Sasa nina changamoto ya kuku wa sasso ambao wana umri wa miezi miwili wamekuwa wakifa hovyo. Dalili wanakunya kinyesi cha rangi kama chokaa,wengine kinyesi ni kama udongo...
  12. Ninahitaji ushauri na muongozo wa kisheria, ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa

    Habari za leo ndugu zangu, Ninahitaji msaada wa ushauri na muongozo wa kujitetea ninakabiliwa na kesi ya kutengenezewa na inaaminika kama nimempiga ex wangu ambae na mtoto nae mmoja. Mwanamke amenifanyia vituko zaidi ya vituko na sasa nimeshakuwa mahakamani mara mbili tunaenda mara ya tatu...
  13. Nombeni Msaada: I think jamaa kaniroga

    Jana mida ya udubu nlikuwa naskilizia (dala)x2 nidandie kwenda Mwenge, Manyunyu yalkuwa yanakishi na dalili zlkuwa znaonesha soon kama sio hivi karibuni itakunya. Ikaja bajaji chap jamaa anataka Buku atukimbize fasta, ila pale kituoni abiria walikuwa weusi kishenzi…wakakaza Mi nkaona njitusu...
  14. MSAADA: Nahitaji bidhaa ya Yasaki Lube; wapi nitaipata kwa jumla?

    Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo. Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani. Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa jumla na kwa bei gani kimsaada zaidi Natumai nitapata mrejesho wenu mapema sana na asante sana kwa...
  15. Msaada wa Kisheria kwa Ndugu aliyekataa Kuondoka kwenye Kiwanja Alichopewa Kukaa kwa Muda

    Sheria inasemaje Kwa mwanaukoo aliyekatalia kwenye kiwanja alichopewa na ukoo kuishi Kwa muda mpaka pale itakapoamriwa vinginevyo.
  16. Naomba msaada, Screen yaLaptop Ina Rangi ya Pinc

    Tafadhali husika na kichwa Cha Uzi huu. Awali Nilidhani Ni "dark mode" lakini siyo. Nilinunua kwa mtu ikiwa hivyo
  17. Msaada kioo cha TV inch 43 Hisense

    Habari zenu Wana JamiiForums, TV yang brand hisence Ina miezi 3 tokea ninunue tatizo ni kioo chake kimevunjika iligongwa na kitu. Nimefikiria gharama za kununua tv nyingine ni Bora nifanye repair hii tv kubadilisha kioo nahitaji msaada upatikanaji wa kioo kingine na gharama Niko nje ya dar es...
  18. Msaada: Nimefungiwa WhatsApp

    Habar zenu Jamani Naomba msaada wa hili tatizo langu la WhatsApp yangu KUFUNGIWA. Hili tatizo limekuwa kubwa Sana kwangu, nimejaribu kutuma message kwa watsapp support kwa Mara ya kwanza walinifungilia nimetumia SIKU 2 wakanifungia tena na muda huo wakanifungia namba nyingine tena, nimejaribu...
  19. J

    Msaada wa kuagiza gari japan

    Habari za humu members,naombeni msaada katika hili nimejichanga hela kidogo nna mil.12 net.Sasa nataka kufanya maamuzi ya kupata usafiri wangu wa kwanza kabisa (sijawahi miliki gari)nataka gari ndogo tu itakayo nisaidia kwenye mishe zangu za hapa mjini.naombeni mawazo kwenye maamuzi yangu haya...
  20. Forex traders naombeni msaada tafadhari

    Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania. Pia ni idadi ngapi ya PIPs ambayo mtu inabidi aivune kwa wiki ili mwisho wa mwisho capital yake iwe katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…