msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Kozi gani nzuri ya kusomea Wizara ya Utalii/ Maliasili

    Hello jF, Mdogo wangu amemaliza shule form four amefaulu vizuri. Hataki kwenda advance ila anataka asomee course/diploma inayohusiana na mambo ya utalii/maliasili mfano chuo. Cha Mweka Kilimanjaro. Naombeni msaada Ni Kozi gani nzuri zenye future katika hii sekta?
  2. Unaweza kujisajili kufanya mtihani wa kidato cha sita huku unatafuta credit moja ya O-level?

    Wadau naomba kuuliza. Unaweza kujisajili PC ya five na six kwa mwaka mmoja na wakati huo huo umejisajili kutafuta credit ya physics? Olevel?
  3. Msaada: Hp Folio 1040 mouse touch inajibonyeza yenyewe

    Habari wakuu, Laptop tajwa hapo juu inasumbua sana kwenye upande wa Mouse yake yaani inajibonyeza yenyewe pale ambapo unaigusa ili kwenda kubonyeza sehemu fulani uliyoikusudia. Unapojaribu kusogeza kila inapokutana na chochote hapo kati inafungua au kufunga. Nimejaribu ku Update drivers...
  4. Msaada wa Kazi/Ajira

    Habari Wapendwa, Nitangulize Shukrani kwenu kwa kuamini Busara na uelevu wenu wa kuchanganua na kusaidia Mambo mbalimbali. Hivyo naomba Mnisaidie. Naitwa "Chilala Mlaponi" naishi Dar es salaam, Ombi kubwa kwa Yeyote atakaeweza kunisaidia Upatikanaji wa Kazi. Ninauzoefu katika nafasi...
  5. B

    Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  6. M

    Msaada- Import duty Uganda na Tanzania

    Habari wakuu, Kuna rafiki yangu anataka kununua tani 100 za maharage toka Uganda. Naomba kujua kama kuna tax duties yeyote ambayo atalipa. Pia, kama ipo, naomba kujua ni asilimia ngapi ya gharama ya mzigo. Natanguliza shukrani zangu kwa wote ambao mtatumia mda wenu kunisaidia. Asante.
  7. Msaada tafadhali

    Ndugu zangu kwema, Nilikuwa naomba msaada tafadhali, maana hili jambo linaniumiza kichwa sana leo. Kati ya uzi hizi mbili kesho nivae ipi jamani? Maana hapa nilipo nimepatwa na mkanganyiko sijui nivae ipi. Naombeni msaada tafadhali.
  8. Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sas nifanye?

    Nimeshikana na mgonjwa wa hepatitis sasa nifanye nini wakuu sielewi sehemu ya kuanza nahitaji muongozo
  9. Tuwe sehemu ya Msaada kwa Walemavu wa Macho (Vipofu) hasa Vituoni na Barabarani kwani hata Wewe ni Kipofu Mtarajiwa

    GENTAMYCINE huwa Nakereka mno kuona Mlemavu wa Macho Kipofu (tena yuko na Fimbo yake) anaomba Msaada wa ama Kupandishwa katika Dala Dala au Kumvusha Barabara au kutaka Kukaa mahala kisha unawaona Watu wanamkwepa au kujifanya hawamuoni. Waswahili tuna Roho Mbaya mno halafu ni Wanafiki sana japo...
  10. Msaada wa kisheria katika hili jambo

    Habari za muda wana JF. Naomba nijikite kwenye mada moja kwa moja. Jana watoto wa kakaangu walikuwa wanachunga ng'ombe huko kijijini kwetu.sasa kuna wanafunzi wawili wakawa wanarudi nyumbani kutoka shuleni. Wale watoto wa kaka wakaanza kuwafukuza.(umri wa wale watoto wa kaka ni miaka 12 na...
  11. Msaada: Hili ni tatizo gani?

    Habari Madaktari na wanadau wengine huku ndani. Kama wahenge wasemavyo "Mficha maradhi Kifo Humuumbua" nipo njiani narudi tena hospital kuonana na daktari kufanya uchunguzi na kupata matibabu lakini ningependa kuwashirikisha na naomba msaada wenu juu ya tatizo langu. Siku ya Jumapili nilianza...
  12. T

    Msaada wa utambuzi wa kitabu kutoka kwa java developer

    Kwa mtu aliesoma kitabu hicho chini naomba title. Nimekiokota mtandaoni chapter moja tu, hakina title book. Nimevutiwa nacho ninahitaji title na mwaandishi ili niweze kukidownload. Thanks
  13. Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  14. Mwanafunzi anaetumia nguvu na muda mwingi kujifunza kitu kile kile kwa msaada mkubwa ili aelewe, akifaulu ni Genius?

    Maana nashangaa nashindwa kuelewa watu wanawaitaje hawa watu magenius na utawalinganisha vipi na wale ambao wanaweza kujifunza haraka bila kurudia rudia na wana msaada mdogo wa material na walimu. Unakuta mwanafunzi topic 1 tu anaiwekea nguvu kubwa mnooo! Yaani anairudia rudia sana ili iwe kama...
  15. Kabla ya kufika Mizani ya Mikese, Morogoro kuna foleni kubwa sana, msaada kutoka kwa mamlaka

    Foleni hii ya Mizani ya Mikese Mkoani Morogoro imesababisha magari yanayotoka Dar es Salaam kuwa na foleni kama kilometa 10 nyuma, pia kutoka Mikese kuelekea Dodoma kama Kilometa 10 pia kuna foleni. Magari yaliyotoka Dar es Salaam asubuhi ya saa 12 leo tarehe 14 Mei 2023 yamefika Dodoma saa 10...
  16. Cecilia Membe Kaolewa? Mwenye namba yake na Picha msaada tafadhali

    Nina shida nae Kubwa na Muhimu.
  17. Msaada wa ramani ya nyumba

    Sina uzoefu wowote katika ujenzi naomba msada wenu. Nahitaji ramani ya nyumba iwe na vyumba vitatu ikiwemo masta moja jiko na dining pia kama ntapata fundi mzuri itapendeza, nawasilisha. Location yangu ni DSM Mbezi Mwisho.
  18. Wakuu mwenye link ninayoweza kudownload biblia ya kiswahili (suv) kwa ajili ya PC msaada.

    wakuu kama kichwa japo juu. Naomba msaada wa link au software ya biblia ya kiswahili SUV au Standard Union Version. Natanguliza shukrani.
  19. F

    Msaada ugonjwa wa ugwe mgongo (spinal cord)

    Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu? Anisaidie ushauri Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie tupone Ndugu zanguni nimekuwa na maradhi yanayonisumbua kwa muda mrefu sasa ni mwaka wa 6...
  20. S

    Msaada: Mahali pa Kubadili Pesa ya Israel

    Wanajamii naombeni kuuliza ni wapi naweza kubadili pesa ya Israel. Nimejaribu kwenye baadhi ya biro na benki, lakini hawabadili. Naombeni anayefahamu sehemu ya uhakika anielekeze.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…