msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya kuuza nyumba ambayo hati ya umiliki bado haijatoka

    Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata ikiwa taarifa za upimaji wa ardhi zilichochukuliwa ni zangu?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu mshahara wa PUTs

    Habari za leo wana bodi. Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi. Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
  3. JamiiForums Tanzania Msaada Tutani Wakuu

    Nina Google Pixel 4XL inanisumbua, sometimes inazima yenyewe ukiiwasha inaleta ujumbe "problem reading battery meter". Kwa mwenye experience na shida hiyo suluhisho lake ni lipi naomba kujuzwa 🙏🙏
  4. JamiiForums Tanzania Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) yatoa tena lori la vifaa vya msaada Hanang'

    Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga. Akizungumza Mara baada ya kukabidhi Misaada hiyo Mwenyekiti Chatanda amesema...
  5. JamiiForums Tanzania Katavi: Kaya 17 zakabidhiwa msaada baada ya kuathirika na mafuriko

    Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini zimeendelea kuleta madhara makubwa ndani ya jamii ambapo mnano tarehe 02 mwezi huu kaya zaidi ya 17 katika Mtaa wa Msufini Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi ziliathirika na mafuriko ambapo baadhi ya nyumba zilianguka na wengine...
  6. C

    JamiiForums Tanzania My Gx110 produces a loud clunk sound when i shift to drive(D) and reverse-R i need solution

    I have Grand mark ii gx110 produces a loud clunk when I shift from parking to reverse and drive , I have changed all the rear bushing and CV cross joint but still the problem persist I need your help please
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata sabwoofer bora kwa matumizi ya nyumbani

    Nilishawahi kutumia sabwoofer ya boss ikazingiua baada ya miezi 3 nikanunua sean piano nayo baada ya miezi sita yaleyale uwezo wa kununua home theater sina je naweza nunua sabwoofer gani ambayo inaweza kudumu hata miaka miwili bila tatizo
  8. JamiiForums Tanzania SOFTWARE Je unahitaji msaada kwenye Dissertation/Thesis yako? Academic doctors consultants are here for you.

    Academic Doctors Consultants Are You Stacked Somewhere in Your Master or PhD Degree Dissertation/Thesis Work? Academic Doctors Consultants Are Here for You! Dealers in all kinds of academic writing works! Master/PhD Proposal editing and developments Master/PhD dissertation/thesis editing and...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

    Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
  10. V

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

    Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu. Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya shairi zuri kutoka katika lugha ya kisukuma kuwa kiswahili

    Ndugu zangu kuna Msukuma anakijua vizuri zaidi basi please: Umo wing'we anambeleje kutafsiri Lugano lwenulu na mambo gose du. Tusaidiane tafadhali wasukuma. Nitumie tafsiri yake kupitia 0734189022 tafadhali The DEDE legend: Sukuma tradition ""Lugano lwa DEDE, lwa kabili: Dede 1 Kimala...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada anaejua gharama za kupima kiwanja na kuweka bikoni

    Habari wakuu, Nina kiwanja changu cha cha 20 kwa 30 ambacho hakijapimwa, kipo level kabisa maeneo ya tegeta-Dar es salaam, sasa nataka nikipime niweke na bikoni, mwenye uelewa kuhusu gharama za kupima huwa zinakuwaje anifahamishe.
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Napata hamu sana ya kujamiana kuliko raha ya tendo lenyewe

    Habari wataalam na wenye hekima, Hivi karibuni nimekua na hamu saana ama addicted na tendo la ndoa, na nimekua nikifanya karibu mara 4 mpaka 6 kwa wiki. Hali imeanza kubadilika kwenye kiwango cha manii kupungua na kuchukua mda mrefu kufikia mshindo, hatakipelekea michubuko inayoacha makovu...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hili maana nishafika hospitali mara 2 lakini suluhisho bado

    Vinatokea ghafla tu kama vile umeng'atwa na kutolewa ngozi na sehemu vinapotokea ni usoni na mikononi tu. Mwanzoni dr alisema ni fungus nikatumia dawa lakini haikufanya kazi, niliporudi wakanambia ni scabies nikapewa dawa lakini bado sioni mabadiliko, vinapona hapa na kuibuka kwingine. Ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna salam wala msaada kutoka nchi zinazotuzunguka kuhusu janga lililotokea huko Katesh Manyara?

    Tumekuwa wepesi kupeleka watu,mali na kutoa salam za pole pale janga au maafa yanapowakumba majirani zetu. Leo ni siku ya tatu hakuna jirani aliyetukimbilia aidha kwa misaada au hata pole ya maandishi. Hawa majirani hawana taarifa ya matatizo haya wanayopitia ndugu zetu? Lakini pia hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada kuondoa kulipa simu ya mkopo

    nimechukua simu ya mkopo nmeshindwa kulipia nataka kuendelea kutumia msaada tafadhari
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Whatsap wamenilog out namba yangu bila kosa

    Wakuu habari Leo asubuhi nimekuta notification kwamba namba yangu imewekwa nje ya whatsap (log out) Nilipoifungua nikakuta ujumbe namba yangu hairuhusiwi kutumia whatsap. Nashangaa tatizo ni nini? Sijawahi kutumia versions zingine za whatsap kama GB au Yo. Kuna watu wamenireport vibaya ama? Too...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection CRDB Bank kwa anayeweza nisaidia

    Ni majuzi hapa nimeomba MKOPO wa CRDB kwenye biashara wakahitaji vielelezo vyote nikawapa. Dhamana ipo (nyumba) iliyopo 25km tokea High Way, wakaenda itembelea dhamana wakajitidhisha ila wakaniambia POLICY yao haiwaruhusu kukopesha dhamana iliyo mbali kiasi hicho. Wakaniambia kwamba nitafute...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu dawa za PEP

    Kwa wenye experience wa hizi dawa za PEP naomba kuuliza kwa nini nikinywa hizi dawa nakuwa napatwa na homa na najisikia kuchoka sana naomba mnijuze hii ni kawaida au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…