KatetiMQ
Senior Member
- Sep 25, 2022
- 180
- 311
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika pita pita zangu online nikakutana na jamaa mmoja anazungumzia website moja inaitwa Indeed na hii websites ni mtandao wa nje ambao watu huutumia kutafuta kazi kwa sababu Kuna kazi nyingi huwa zinapostiwa
Na zingine anasema zina visa sponsorship kwa wale wanaotokea nji za mbali na kazi husika ilipo naombeni msaada kwa anayeifahamu hii Indeed vizuri Kama ana kitu chochote anachokifahamu ili tuwe makini wakati tunajiingiza humo maana elimu ni bahari naomba kuwasilisha