Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
Nina Mifi router ya tigo, inaitwa HOME INTERNET
Sasa nataka kuconnect na laptop yangu
Nifanye configuration Ili niweze kutumia WIFi
Msaada Kwa mtu ambae ana router kama hii tafadhari.
Kama kuna mtu au wataalamu wa kupuliza dawa majumbani ninaomba tuwasiliane kuna wadudu wanakula mbao za dali ninaitaji sana kama yupo tuwasilane kwa kazi hii
Habari zenu wakuu najua humu nitapata ushauri or tiba sahihi,
Kuna ndoto usiku wa kumkia Leo imenitesa Sana mpaka saa 11.36 alfajiri nilivyo kuja kumshwa Tena kwakua nilikua nawakela watu kwa kelele za kuwafukuza watu, hii ndoto imejirudia zaidi ya Mara 6 nikisinzia nahamishwa katika uwanja wa...
Mtu akikufanyia fujo na kukujeruhi kwa kutumia silaha (Chupa za soda zilizovunjwa) unatakiwa kufanya nini baada ya ya kumfikisha kituo cha polisi?
Je, hii ni aina gani ya case?
Mimi ni mgeni jiji la Mwanza week hii naenda huko ntakaa mwezi mzima.30 days. Naombeni mnisaidie wapi nitapata Lodge au Hotel nzuri sehemu tulivu ambapo pia si mbali na Mjini.
Cost iwe tsh 30,000 mpaka 40,000. Sehemu isiwe yenye kelele. Iwe nzuri pia ja yenye heshima.isiwe katika mji sehemu...
Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
Wakuu, Hivi hizi neti zinasafishwa vipi?
NB: zikishawekwa hazirudi kama zilivyokuwa (zinakuwa round zikiwa mpya, then zinafyatuka kuwa hema ila kurudishia kuwa round baada ya kuwa hema ni ngumu)
Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa
Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi banks wanatumia kucreate money
Hii Concept imeniwia vigumu sana kuielewa kwani ina kamkanganyiko...
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji".
Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM.
*Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
Habari Wana JF,
Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni.
Ahsanteni 🙏
Habari za Leo wadau wa humu ndani.
Niende Moja Kwa Moja kwenye swali, mwenye uelewa anieleweshe.
Rangi wanazopaka wanajeshi usoni wakiwa wanaelekea kwenye oparesheni za kivita huwa zinaashiria nini, au zinamaana gani?.
Nawasilisha
Wakuu kwema, mimi mkamaria ninayetumia 1xbet, wakamaria kama mnavyojua tunakula sana za uso...
Mimi siyo mwandishi mzuri tuvumiliane
Siku moja nikakaa chini nikafikiria namna ya kupata pesa kupitia betting bila kuloss, niliziangalia sana odds za 1xbet kwa umakini nikagundua kuna mahala...
Habari za muda huu ndugu zangu,
naombeni msaada wenu, nimenunua nyumba mwezi mmoja sasa hapa jijini dar es salaam, mita ya maji na lukuya umeme inasoma majina ya mwenye nyumba wa zamani (ambaye ameniuzia mimi), nilikuwa naomba utaratibu wa kufata ili niweze kubadili majina pamoja na namba ya...
Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA,
Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.