Habarii wanaJF
Nilikuwa naomba msaada kwa yeyote ambaye alishawahii kufanya practical interview utumishi ya VOCATIONAL TEACHER II -ICT wanaletaga practical ya namna gani maake sijawahii kufanya interview ya namna hii ya teacher .
Habari wadau?
Kwa muda mrefu sana kuna jambo huwa limekuwa likijitokeza mara kwa mara kwangu, kwamba mara nyingi nikiwa naangalia majira kwenye saa ya mkononi au simu nakuta masaa na dakika zinafanana.
Mfano 02:02, 10:10, 20:20, 15:15 N.k, yaani naweza kujiuliza hivi saa hivi saa ngapi saa...
Naomba msaada kwa wale wataalamu wa kuroot simu nina simu aina ya Tecno k7 naitaji kuiroot naweza kutumia njia gani rahisi bila kurumia computer.
Asanteni.
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni future technology! Kama ndivyo baai napenda kutoa pongezi kwa hatua hii kubwa!
Muonekano wa...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo biashara hii itafit
NB: kwa sasa nataka kuanza rejareja ila mbeleni nitauza na jumla kutegemeana na...
Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance
Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini
Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
Hii ni kwa wale ambao
1. Wako single
Ivi jaman mlio singo mnaona kama mnaelekea kuingia kwenye mahusiano kweli??
Mnaonaje foleni ya kukaa kuwa singo inaenda au haiendi?
2. Mlio kwenye mahusiano
Mnaona kama mahusiano yanasomeka kweli au mauza uza?
Unaona unaolewa soon au hamna kitu?
Ushafumania...
Mimi ni kijana ninayejitolea katika moja ya hospital hapa nchini katika kitengo cha mapokezi kwa miaka zaidi ya sita napenda hii kazi ya kuhudumia wagonjwa, changamoto yangu sina uhakika wa ajira kwa hapa nilipo kwa yoyote mwenye mawasiliano hata email ya waziri wa afya tafadhali anisaidie...
Habari wanajamvi Ninaomba Msaada juu ya kufunguliwa Kwa account yangu ya whatsapp iliyofungiwa burned
Natumia whatsapp messenger Pelee na sikufanya chochote Kama forwarding SMS wala majibizano na mtu
inaandika hivi Msaada tafadhari
Wakuu..!!
Kama mnavyojua sasa Serikali ipo kiganjani kwa kuthibitisha hilo, kwa upande wa utumishi wa Umma
mambo yote ya kiutumishi yanafanyika kupitia mtandao(ESS).
Hivyo basi nimejaribu kufungua/kupakua "user manuals" zinazohuhusu uhamisho wa watumishi ila mfumo unagoma.
Bila shaka humu kuna...
Kuna movie niliangalia miaka mingi kidogo kama 25 iliyopita kuna kijana alimchumbia mwanamke aliyekuwa na uhusiano na baba yake nafikiri yule mchumba wake alikuwa anafanya kazi ofisi ambayo baba yake huyo kijana alikuwa akifanya.
Sasa mwisho wa siku kuna watu walimlengesha yule kijana bila...
Habari wanajukwaa,
Naomba kujua utaratibu wa kufuata kuclaim fidia unapopata ajali kama abiria katika chombo cha usafiri. Ajali hiyo imemgarimu sana ndugu yangu matibabu na pia imempelekea kupata ulemavu wa kudumu. Je ni utaratibu gani afuate ili aweze kulipwa fidia?
Natanguliza shukrani.
Mimi ni wakala wa voda na mitandao mingine pia kwa kutuma na kutoa hela
Leo nipo ofisini kuangalia kamisheni yangu nikakuta zaidi ya 50 elfu imekatwa
Moja kwa moja nikawasiliana na huduma kwa wateja kitengo cha mawakala nikawaambia mbona mmepunguza kamisheni yangu. Wakaniambia wasiliana na...
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
Wakuu kama heading inavyosomeka,
Elimu haina mwisho zaidi ni vile utakavyoamua kichwani mwako.
Nahitaji mwenye ufahamu mzuri juu ya chuo gani bora, ambapo naweza anza masomo online. Lengo ni kuanza foundation course mpaka nipate PhD ya Computer science. Karibuni tutete jambo hapa.
Sonko...
Wananchi walioathiriwa na mafuriko wilayani Rufiji wameiona thamani na umuhimu wa uwepo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA baada ya leo Aprili 16, 2024 kupokea misaada mbalimbali kutoka kwa taasisi hiyo yenye thamani ya shillingi millioni 20 ikiwemo tani 6.4 za unga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.