msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Research Consultant

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Wasalaaaam Ndugu, jamaa na marafiki Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
  2. Ngwega

    Pikipiki imegonga gari yangu, ila nimeambiwa kila mtu atengeneze chombo chake kwa hela yake

    Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada tafadhali
  3. D

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  4. Azer Zepha

    Msaada wa muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro

    Am sorry guyz natafuta muendelezo wa riwaya ya saa za giza totoro coz aliye weka huu uzi hakumaliza so anaeweza kutoa msaada atusaidie wote ambao hatukumaliza huu uzi
  5. ndege joni

    Msaada: Usumbufu wa Makampuni/Mitandao inayokopesha mtandaoni na nini cha kufanya

    Habari za mapumziko wote mtkaopata nafasi ya kusoma hii thread Mada yangu inahusu makampuni au mitandao inayotoa mikopo online, ambayo wengi kwa namna moja ama nyingine wameweza kupata usumbufu. Sio lazima uwe umeshakopa hata pia matangazo yao unapojaribu kuingia kwenye Mitandao mingine...
  6. The Transporter

    Msaada kwa wenye ufahamu wa balance shaft 2AZ engine.

    Wakuu kwema, Nina gari yangu RV4 (Miss Tanzania) hii gari ilivunja hii kitu na kupelekea taa ya oil kuwaka nimepeleka kwa fundi karibu wiki sasa tumepata spare part nyingine ila akitega timing yake na kwenye crankshaft ni kuwa inakuwa kama inalia knock flan hivi na isipolia knock basi gari...
  7. under timer

    Kati ya ndugu wa damu au asiye wa damu yupi wa kushirikiana nae ktk ujasiriamali

    Natumai mko vizuri kiafya, nina kiduka cha bidhaa mchanganyiko kama dona, mchele, mayai, pipi mixer mafuta nauza rejareja na mungu anajalia angalau riziki kidogo naipata. Sasa kuna ndugu nashirikiana nao maana mie ni kijana mwepesi leo utanikuta dukan kesho namwachia shemeji wa kiume apige...
  8. A

    Utaratibu wa NHIF kumtaka mgonjwa akapate Rufaa toka Hospitali za Wilaya ni kero

    Kuna ndugu yangu amelipia kifurushi cha NHIF cha Tshs. 530,000 kwa mwaka. Hapa karibuni amepata tatizo la maumivu ya jino. Kwa vile anaishi Oysterbay, akaamua kwenda kwenye hospitali binafsi iliyo karibu ili kupata matibabu. Alivyofika hospitali, walimwambia kabla ya kupata matibabu inabidi...
  9. Sasso

    Msaada: Natafuta chumba kimoja cha kupanga self-contained Dodoma Mjini

    Kwema Wakuu, Natarajia kuwepo Dodoma mjini soon kufanya project itakayonichukua kati ya mwaka 1 mpaka mwaka 1 na nusu. Naomba wenyeji wa mji wanisaidie ABCs za kupata chumba kimoja cha kupanga self-contained chenye usalama na huduma za maji na umeme, kodi kwa mwezi etc Nicheki PM au unaweza...
  10. M

    Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  11. L

    Msaada HESLB

    Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00. Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2. NB: Mimi ni mwajiriwa
  12. Mastamind

    Msaada; Truecaller Inafuta Contacts

    Habari zenyuu,, Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller, kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati za SMS Messenger Shida ni nini hii Wajuvi, Natumia Note 20 Ultra
  13. GENTAMYCINE

    Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  14. Stephano Mgendanyi

    UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  15. N

    Msaada wa Ushauri

    Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi kikubwa lakini changamoto sipati kazi na wala sijui cha kufanya. Sehem niliyo anza kufanya kazi kama...
  16. O

    Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
  17. Kaveli

    Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  18. MwaFreeca

    Msaada whatsapp

    Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa miezi mitatu ikaja kukataa tena inaleta ujumbe huu hali yakuwa natumia Official whatsapp..
  19. Sir John Deere

    Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  20. I LOVE YOU DUCE

    Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
Back
Top Bottom