Msaada kujisajili X(Twitter)

Kabelwa

JF-Expert Member
Mar 19, 2015
657
168
Ndugu naomba msaada wa jinsi ya kujisajili kwenye mtandao X(Twitter) kila nikijaribu kujisajili inagoma,asante.
 
una weka weak password
unashindwa ku verify
poor network connection
update iyo app ume install
tumia email ku sign in
 
Anahitaji maombi au save picha ya Mwamposa kama wallpaper (Kwa mujibu wa waumini)
 
Back
Top Bottom