Natafuta kazi. Nina Certificate ya Laboratory Technician level ll

Jicholamwewe

JF-Expert Member
Jan 2, 2021
350
408
Habari wakuu, natafuta kazi ya permanent au temporary.

Nina certificate ya laboratory technician level ll, pia nina experience ya miaka 2 ya quality control, quality assurance, lab technician na blending operator pia viwanda vyote vinavyotengeneza vinywaji vya spirit kama konyagi, kvant, sungura, kitoko, tabo kiki n.k

Nina uzoefu wa kublending alcohol zote na kuangalia quality na kufanya analysis zinazotakiwa, pia naweza kufanya kazi popote penye uzalishaji wa products kama mtu wa lab technician, quality assurance na quality control.

Yeyote atakaye pata sehem naomba anijuze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom