Msaada: Jinsi ya kupata gawio langu kutoka Swissport

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
591
1,121
Ninaomba msaada wa kuelekezwa kutoka kwa yeyote kutoka Jamiiforums. Mimi ni mwanahisa wa Swissport na bahati mbaya nilipoteza cheti changu muda mrefu uliopita na sijapata gawio langu sasa yapata miaka 8.

Nifuate njia gani ili niweze kupata cheti changu na gawio langu kwa miaka hiyo yote.

Tafadhali maelekezo na msaada wenu.
 
Back
Top Bottom