msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Escudo

    Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Napenda kujua,maana mara nyingi escudo zenye shape hii,ona picha huwa ni v 6 cc 1990.Je kuna zenye Cc 1590. Na je kama watalaam wa magari mnanishauri kununua hiyo,maana ni gari ya zamani sana.Ninahofu upatilkanajinwa spare
  2. V

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa biashara ya kufanya

    Habari wanajamii Mnakumbuka nilileta changamoto yangu na hamkusita kunishauri vyema na sasa ule ushauri mlionipa umezaa Matunda Nawashukuru kwa kila mmoja wapo kwa kusoma story yangu na kutia chochote kitu Moyo ukapoa maana niliwaza mengi Sana kwa wakati ule Ila kubwa Zaidi nilijitahidi sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda tunaomba msaada Tanfom Arusha wamejaza udongo kwenye barabara Moshono-Losirway

    Tunaomba msaada mkuu wetu wa Mkoa, nafahamu jinsi ulivyo na moyo wa kuwasaidia wananchi. Tanfom wamejenga ukuta kwenye eneo Lao jipya la moshono losirway, wamejaza udongo barabarani zaidi ya miezi miwili sasa hawajatoa. Kwa kweli tunapata shida tunapokuja usiku tunaachwa mbali na toyo inabidi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Mwenye version ya the Latest STANDING ORDERS FOR THE PUBLIC SERVICE anisaidie hapa au inbox

    Nina shida na kanuni za uumishi wa wartumishi wa serikali. (STANDING ORDERS FOR THEPUBLIC SERVICE, ). Ya mwisho ilikuwa ya 2009. Kama kuna latest anisaidie
  5. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa wakili mzuri aliyepo Sengerema, Mwanza atakayeweza kusaidia hili suala la NMB kugoma kutoa hati ya mteja wao kwa miaka mitano

    Ndugu zangu naomba tumsaidie huyu mama anayezungushwa na NMB kupewa hati yake aliyoitumia kama dhamana ya mkopo miaka 5 iliyopita. Naomba msaada wa kisheria kama kuna wakili humu ambaye yuko Sengerema, Mwanza anaweza kusimamia hili suala. NB: MKOPO UMESHALIPWA MIAKA 5 ILIYOPITA Pia soma...
  6. ferucho lamborgini

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusiana na swala la website

    Nahitaji kufungua website kwa ajili ya biashara. Nimepitia baadhi ya nyuzi tofauti tofauti kuhusiana na maswala ya website na aina zake nimepata mwanga angalau kidogo. Ila bado nina maswali kwa wataalamu, naombeni mnisaidie a] Nitajuaje kama website niliyotengenezewa na web designer kama ni...
  7. Chura

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta juu ya Mafao

    Habari wakubwa? Nina swali kwenye kunufaika na mafao. Mchangiaji anapofariki mwenza wake anaendelea kupokea mafao kila mwisho wa mwezi? Anapofariki na mwenza utaratibu wa yale mafao unakuaje ama ndio unakoma?
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kutoa msaada ni ibada

    Watu wa dini, wasioamini Mungu, freemasons kupitia charity zao, wote wanaunganishwa katika jambo moja la kutoa msaada kwa watu wenye shida. Kutoa kwa kusukumwa na huruma kwa mwanadamu mwenzako ni ibada kamili iliyokamilika. Hii kazi ilipaswa kufanywa na Mungu mwenyewe aliyemuumba huyo mtu, wewe...
  9. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu wale wataalamu wa simu

    Kati ya hizi simu ipi itafaa Nokia G20_128gb 6 ram Vivo v20_ 128 GB 6 ram Redmi pocco X3 _128GB 6 ram Redmi note 12 5g_ 128gb 6 ram N.B zote nimeangalia features zake zaidi ipi iko vizuri wataalamu. Chief-Mkwawa
  10. kevin strootman

    JamiiForums Tanzania Amber-Rutty anaomba msaada, amepata ajali

    Kampeni za kuchangishana zimekua nyingi sana, wakiwa wazima mpaka wanajirekodi wakilawitiana, sasahivi ni kutia huruma tuu, watu maarufu wanapenda sana kuchangiwa na walala hoi
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimelipia cheti cha kuzaliwa hadi leo hamna, vijana walinihakikishia control number ikitoka tu basi

    Salaam kwenu wabongo wenzangu, Bila kupoteza muda naomba Kusaidiwa ushauri kama ifuatavyo; Ninataka cheti cha kuzaliwa cha binti yangu wa nje mwenye miaka 13. Nilipewa procedures kwamba niombe mtandaoni. Kwa kuwa nilikuwa bize ilibidi hilo jukumu niwape vijana ktk steshenari fulani...
  12. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
  13. costatido

    JamiiForums Tanzania Msaada wa connection ya kufika Uswiz (Switzerland)

    Wadau naomba mwenye kunisaidia kunipa connection. niweze kwenda Uswiz (Switzerland). Lengo ni kupata mtu atakaye nipokea ili niweze kupata kazi huko iwe unskilled job au semi skilled job. Pia Ni namna gani mchakato wa kwenda huko unafanyika hapa bongo na gharama za nauli zikoje hadi huko...
  14. suley wa tz

    JamiiForums Tanzania Msaada wa wa maswali ya interview kada ya mkufunzi maendeleo ya jamii

    Habari wakuu nimeitwa kwenye usaili wa kuandika secretariat ya ajira wa kada mkufunzi maendeleo ya jamii, kwa yeyote mwenye kujua ABCD kuhusu kada hii na ukufunzi kwa ujumla unaweza kishare experience, mawazo na ushauri, natanguliza shukran zangu
  15. Jackson H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Amedhalilishwa kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu. Afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua?

    Wataalamu wa sheria jamaa yangu amedharilishwa Kwa kutukanwa na kuambiwa kuwa ameua mtu Ambae alikufa mwaka Jana Kwa ajali ya kugongwa na gari. Je, anatakiwa afanye nini ili ashtaki ili aliyemchafua achukuliwe hatua? Aende Polisi au mahalamani?
  17. Mpatuka

    JamiiForums Tanzania Msaada Passport ya kusafiria

    Kuna yeyote hapa ambaye amekutana na tofauti kati ya taarifa zilizopo kwenye cheti cha kuzaliwa na zile za kwenye NIDA? Hasa sehemu ya kuzaliwa zinatofautiana? Ninauliza kwa sababu nataka kufuatilia upatikanaji wa pasipoti na nina wasiwasi juu ya taarifa sahihi zinazohitajika na uhamiaji."
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel inapewa msaada wa kijeshi/ silaha na Marekani?

    Katika mambo ambayo yamekuwa yakieleweka vibaya, kukanganya na pia kuzua dhihaka kutoka kwa watu wasioipenda Israel ni pamoja na hili la kupewa misaada wa jeshi/ silaha na Marekani pamoja na kuwa ni nchi tajiri iliyoendelea. Ni vizuri tujifunze na kuelewa mambo bila ushabiki, kuna sababu kadhaa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  20. RUKUKU BOY

    JamiiForums Tanzania Msaada Zoom interview

    Hello mambers, Naomba sana msaada wenu, niliomba kazi kwenye shirika moja la wa Norway, juzi nikatumiwa email kuwa nimekuwa shortlisted hivyo nitafanya interview via zoom. Naomba kuuliza maana nilipewa link lakini nki-click ata hai-load. Na je unaweza kufanya zoom Kwa kutumia simu na sio...
Back
Top Bottom