Anayefahamu App ya kuvuta sauti anisaidie

Kibwetelo

JF-Expert Member
Nov 21, 2018
734
595
Habari wakuu,

Kama kichwa kinavyoeleza naomba msaada kwa yeyote anayeijua App ya kuvuta sauti kwa mfano upo kwenye mkutano mwishoni na hakuna spika yaani mkutano hawatumii redio, so we ukifungua hio App inavuta sauti na utaisikia vizuri.

Nawasilisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom