Msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya Relationship Officer

Mzee Tola

Member
Jan 6, 2020
20
45
Habari zenu wana jamvi, jamani naombeni kusaidiwa maswali yanayotoka kwenye mtihani wa written interview katika kada ya Relationship Officer tafadhali.

Nawakaribisha wanajamii wenzangu tupeane uzoefu hapa kwenye hii thread karibuni sana.
 
Mzee Tola

Member
Jan 6, 2020
20
45
Mods naomba muongeze apo kwny heading isomeke msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya relationship officer-bank
 
MMOJA

JF-Expert Member
Aug 30, 2012
423
250
Mods naomba muongeze apo kwny heading isomeke msaada wa aliyewahi kufanya written interview ya relationship officer-bank
Mzee funguka kikamilifu ukiwa unahitaji msaada,
Kusema Bank tu haitoshi,
Je ni Bank gani!?

Usihofu kwa kuogopa kutaja Bank labda unahisi kua nafasi yako itachukuliwa kwa kuweka wazi kua ni Bank gani!!!!!

Binafsi nimewahi fanya written interview kwenye Bank tatu tofauti, na zote zilikua ni tofauti kabisa, wala zilikua hazifanani

Inawezekana wadau wanachelewa kujibu hii thread kwa kua haijakaa wazi,

Maana ili mtu akuulize kwanza maswali ndio ajue anakujibuje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee Tola

Member
Jan 6, 2020
20
45
Accessbank mkuu

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom