Habari wana JF, nimejaribu kutafiti mitandaoni kuhusiana na upatikanaji wa hiyo bidhaa(hizo boxes) hapo pichani lakini bado sijafanikiwa kwa hapa nchini kwetu.
Nawezaje kupata hizo boxes sample ya zile zinazohifadhi viatu vipya vinapokuwa madukani hata kama zitakuwa plain tu bila chapa/Nembo...