Msaada: Mwenye uelewa na sauti ya huyu ndege naomba anijuze ni sauti ya ndege gani hii

Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
288
534
Ndege huyu hulia usiku tu mbele ya nyumba nayoishi, haswa usiku wa manane kama huu. Nimejiaribu kutoka nje kumuangalia lakini simuoni zaidi ya kuona macho yake yanang'aa nikimmulika mwanga wa tochi usawa wa sauti inakotokea.

Macho yake yanakuwa mfano wa picha hiyo nikimmulika


index.jpg
 
Moja wapo wa ndege wazuri na rafiki kwa binadamu .hapo maana yake mazingira yako yana panya na nyoka wa kutosha tu .wacha wakusaidie kuwaondoa
 
Mkuu, hao ndege ni wakawaida sana na wanapatikana zaidi karibu na nyumba ama makazi ya wagombea, hasa kipindi hiki cha uchaguzi...
 
Huyu ndege huwa anakuja saa saba mpaka saa nane usiku, kisha anakuja tena saa kumi asubuhi
Mimi ninavyofahamu huyo huwa ni ndege tu kama ndege wengine ila yeye uwezo wake wa kuhimili ni usiku japo huwa anahusishwa mara nyingi na mambo ya kishirikina
 
Back
Top Bottom