Ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji?

koba lee

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
964
1,552
Wakuu poleni na majukumu.

Niende kwenye mada, nahitaji kufahamu kama ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji?

Asanten!
 
Hiv Ku-top up unajua maaan yake? Ulishakopa unajazia au unaanza upya ? km ulikopa ulipiti process zipi km hukuwahi kukopa hapo nenda Tawini Ukaulize
Nb : Ukipata Mkopo usisahau kujipooza kidogo na moja moto moja barrdiiii UJUGU HAPA
 
Nilishakopa nataka kujazia mkuu.
Nadhan unachotaka kunambia ni kua utaratibu nilioupitia wakati nakopa mara ya kwanza ndo huohuo utatumika nikitop up?
 
Nilishakopa nataka kujazia mkuu.
Nadhan unachotaka kunambia ni kua utaratibu nilioupitia wakati nakopa mara ya kwanza ndo huohuo utatumika nikitop up?

Kama una salio la kutosha kwa nini usiende benki nyingine ukakope ili uwe na mikopo miwili?

Wengi wanalalamikia huko ku top up ya kwamba unapewa hela mbuzi na benki, huku makato yakiendelea kuwa makubwa na pia kuchukua miaka mingi kumaliza deni.
 
Back
Top Bottom