Msaada ninashida ya infection kwenye sikio ndugu zangu

charlesfundi

Senior Member
Jun 5, 2017
116
250
Habarini wana jf nimatumaini yangu mu wazima nimeona niingilie huu uzi maana namm nina tatizo la infection kwenye sikio.

Lilianza nikiwa Dar nikaenda pale Ekenywa akanicheki dr akaniambia inabidi ni hudhurie clinic pale kwa week sita ikianza siku niliyo enda sasa shida ikaja mm nashughuli zangu mkoani na ndizo zinanipa kidogo ulaji kumwambia dr akaniambia inabidi niendelee na clinic kwa mkoa nilipo alinambia inabidi nihudhurie Bugando Mwanza.

Sasa dhumuni lakuandika hapa nikwamba nimeshatibiwa na ma ENT wawili tofauti lakini bado sikio langu haliponi na nimetumia dawa tofauti 3 pamoja na kufnya culture lkini hali bado .. Dr alinambia ninashida inaitwa "otiti externa" kitaalam .

Ndugu zangu kwa ambao wamewahi kusumbuliwa na sikio naombeni mniambie nifanye nini maana linawasha na maumivu hadi kichwani na nyuma ya sikio asanteni..
 

Gatete

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
363
500
Nilipewa predinisolone na antibiotic nimesahau jina vyote kwa siku 3, nikawekewa dawa inaitwa clotrimazole+anhydrous beclometasone diprropionate+ gentamicine sulphate.

Baada ya kutumia nilikuwa bado nasikia maumivu ya sikio ila baadae yakaisha
 

charlesfundi

Senior Member
Jun 5, 2017
116
250
Nilipewa predinisolone na antibiotic nimesahau jina vyote kwa siku 3, nikawekewa dawa inaitwa clotrimazole+anhydrous beclometasone diprropionate+ gentamicine sulphate.

Baada ya kutumia nilikuwa bado nasikia maumivu ya sikio ila baadae yakaisha
kwahiyo mwana shida iliisha kabisaa mpaka Sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom