Ni wapi nitapata kibarua cha kuniwezesha kupata angalau Tshs 7000 kwa siku?

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Dec 16, 2016
1,503
1,906
Salam wakuu,

Naombeni msaada mimi nina shida ya kama laki 3 ila naomba kulekezwa sehemu ambapo naweza ni kapata kibarua cha kuingiza hata 7000 kwa siku ili ni changamke nifanikishe lengo langu.

Ahsanteni.
 
Aisee yamekukuta mpaka unaomba kibarua cha 7000 kutwa pole sana mbia wangu kwenye uchumi wa kati.
 
Ipo door to door marketing ambayo makampuni mengi wanafanya vijana wanakuwa vipeperushi vya kampuni husika wanapita kwenye maofisi au hata majumbani ku market service or product.Upo dunia ya ngapi au unaakili za jiwe
Bro... Ni door to door marketing au door to door selling?!

Marketing sio kuuza babu, selling ndio kuuza.... Usiklemishe, elewa....
 
Ipo door to door marketing ambayo makampuni mengi wanafanya vijana wanakuwa vipeperushi vya kampuni husika wanapita kwenye maofisi au hata majumbani ku market service or product.Upo dunia ya ngapi au unaakili za jiwe
Kuna tofauti kati ya Door to Door marketing na Selling, Selling ni mziki mwingine...kama ipo iyo ya Door to Door marketing hata mimi naitaka hata sasahivi
 
Umeweka kabisa kiwango Mzee?, sidhani kama ni rahisi Mtu kukupa kazi ikiwa umeshampangia na kiasi cha kukulipa.
 
Kijana pambana jaribu kwenda kwenye viwanda waweza pata kikazi kakujishikiza
 
Kama unajijua wewe ni mrefu....na upo teyari kufanya kazi za ulinzi...ukiwa na vyeti halali....njoo gardawold ajira zipo za kumwaga mshahala kuanzia 250000/=
 
Back
Top Bottom